Recent content by betty marandu

  1. B

    Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

    Nafikiri wazee wetu walikuwa na busara kuzuia Watoto kuongea kwenye mijadala ya watu wazima.Nafikiri kwenye huu mjadala wewe ni mtoto ni vyema uwaachie watu wazima wajadili.
  2. B

    Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

    Wanaoa msimu wa mavuno ukiisha wanatalikiana nanda kajionee
  3. B

    Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

    Una uhakika.Nenda mwenyewe Rombo kajionee Acha kusikiza ya vijiwe.Kati wilaya zenye maendelea katika maeneo ya vijijini Rombo ni mojawapo.Kuanzia makazi, shule na maisha kwa ujumla .Kuhusu Mtwara nanda pia kashuhudie uloyqsikia halafu rudi utoe hitimisho.
  4. B

    SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Acha niungane na saliva.wewe ni kiazi maana una macho ila huwezi ona na una moyo ila huoni maumivu ya wengine.Narudia sikui ila wewe ni sawa na kiazi yumkini unahusika na maumivu ya sativa
  5. B

    SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Ungejitahidi kwanza kulaani kitendo cha kutekwa kwake na hata kumuombea kifo anayejaribu kutoa uhai wa wengine .Halafu kwa pamoja tumkemee kijana
  6. B

    Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

    Hayo matukio hafanani kwa namna yoyote na tukio la Lissu.Kwa mujibu wa LIssu tukio lilifanywa kimkakati kabisa likiratibiwa na watu wanaoiwakilisha serikali wakishirikiana na wavujisha taarifa aka TIGo,ila hayo uloyataja ni ya ghafla tu watu wamepatq mhemko wakatenda mfano hao askari unaodai...
  7. B

    Tatizo la Muungano ni Uislam siyo Wazanzibari

    Kuwa na knowledge nusu nusu ni mbaya kuliko asiye nayo kabisa.Hivi unaweza leta hilo andiko linalosema hayo maneno yalitumika baada ya mtu kutaka kumzika mtu wa dini nyingine?
  8. B

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Kama kweli basi Nancy ni jasiri sana unalalaje na mganga kwa mfano?yaan witch doctor unalala naye haki hii dunia ina mengi.
  9. B

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Inatemegea.Kama alizikuta kampuni na akaajiriwa kama staff akawa analipwa mshahara na stahiki zake,kugawana itakuwa utata manake hata mshahara wake itakuwa wagawane.Nafikiri wanasheria wangeweza kutuelezea vizuri inakuwaje.
  10. B

    Ukaaji mbaya kama Chura au Kobe kwa muda mrefu husababisha Maumivu ya Mgongo

    Haya bana hizi nondo za dr.nondo walau zingeambatana na mchoro tungepata elewa vizuri somo lakini sasa kila mtu ataelewa alivyoelewa.
Back
Top Bottom