MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA
Habari wadau.
Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC.
Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe IMETOSHA.
Game za derby hizi, wachezaji/timu zinatumia energy kubwa mno.
Kwa hiyo, ni ngumu mno kuwa na...