Recent content by betnel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Unamfanyaje huyu mume anayehitaji faraja baada ya mchepuko wake kufariki dunia?

    Hahahaaaaa nitamfariji tu kuwa atapata Mchepuko mwingine asijali
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hana huruma na Mtanzania na anasema waziwazi; Je, sirini ni yapi anayaagiza juu ya Raia?

    Mimi nimeelewa kuwa walime wapate chakula chao, kwani kule gerezani si kuna maeneo na huwa wanalima Yale mazao yanaenda wapi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Napatwa na hamu ya kufanya mapenzi nje ya ndoa wakati nikiwa nimelala na mke wangu

    Hilo ni pepo nalikemea katika jina la Yesu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Mungu mponye spika wetu arudie afya yake aje alitumikie taifa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Ukiona watu wanahangaika na mavazi ya mwanamke ujue wana matatizo yao

    Kwa ni sawa tu kutembea uchi, zama zinabadilika jamani lazima MTU ukubali mabadiliko
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

    Hongera zidisha upendo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amjia juu Mpoto, adai kutomsema marehemu kumepitwa na wakati

    Huo ni upuuzi mtupu kwa nini usingemuonya alivyokuwa hai , eti Leo unajifanya unafunguka huo ni unafiki mkubwa, huna lolote
  8. B

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amjia juu Mpoto, adai kutomsema marehemu kumepitwa na wakati

    Huyu kaka sio mstaarabu hata kidogo yaani, alikuwa wapi kumwambia alipokuwa hai? Haya leo hii anaongea huyo marehemu anasikia?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Nimeamini hakuna dhamana kwa binadamu kwake vyote ni ubatili mtupu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wasipomdhibiti kwenye chama chake, watanzania tutamdhibiti

    Hakuna wa kumng'oa wewe,
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa style hii single mother wataongezeka maradufu!

    wewe ni mtu wa ajabu kutokea duniani una pepo la uzinzi usipobadilika utaangukia pua
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mzazi mwenzangu ameniganda au kuning'ang'nia

    Tatizo nini kwani ulilazimishwa kuwa nae mpaka ukazaa nae? Sio vema kabisa kumbuka huyo malaika hana kosa lolote, Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet)

    Napita tu, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kumpagawisha mwanaume

    Mmh
Back
Top Bottom