Naandika nikiwa mwana CHADEMA safi na nataka kila mwanachama atakayesoma atulie na kutafakari. Hili siyo jambo la ushabiki. Nimawasiliano baina yetu wana chadema na tunahitaji tutulie na kutafakari.
Nimekuwa mwanachama wa siku nyingi na nimebahatika pia kuwa kiongozi ndani ya chama kwa nyakati...
NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao.
Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini.
Mabalozi...
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya...
Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao?
Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio.
Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
Biashara yako ikifungwa jua ulikuwa na mapungufu hakuna mtu atakurupuka kuja kukufungia biashara yako wakati hakujui wala hajawahi kukuona. Tuache mazoea tujifunze kulipa kodi kwa maendeleo ya wote
Nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegeme hivyo vyama vinatakiwa kuwa na Itikadi zisizokinzana na Katiba, Haya tuambizane Itikadi gani ya chama inahakisi Katiba ya nchi??
Hoja dhaifu, CHADEMA walikosa resource Mpaka wakamweka LOWASSA kugombea 2015 na kukigawa chama??? CHADEMA wamekosa resources mpaka wanachama wake kila siku wanahama chama??? Chadema wamekosa resources Mpaka sasa BAWACHA imepasuka??? Ukweli ni kwamba CHADEMA hakuna mfia chama wote wanatafuta...
Tatizo kubwa la upinzani wa Tanzania ni kufanya siasa za mazoea na mihemko, vyama vinashindwa kujenga wanachama kwa mifumo ya kiitikadi.
Pia vimeshindwa kutafuta wanachama kwa Makundi ya Vijana wa Vyuo, waliokosa ajira au wenye matatizo mbalimbali. Matokeo yake makundi hayo yanapotatuliwa...
Dhana ya mkopo huu ni kukabiliana na athari za Corona na kuweka mazingira ya watoa huduma na vituo vya afya kuwa tayari kukabiliana na Corona endapo itajitokeza tusiwe watu wa kulalamika.
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi.
Nini Matokeo yake
Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF...
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi.
Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.