Recent content by Best81

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msichana aongoza kwa ufaulu UDSM (4.8 GPA), Ana ndoto za kuja kuzaa watoto wasiopungua 7

    Doreen ungekuwa muislam ningetupa ndoano nikuoe ila ndo hivyo tena
  2. B

    JamiiForums Tanzania (Volunteer) ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanaotafuta ajira

    Nakumbuka mwezi mmoja kabla sijamaliza chuo nilienda bank moja kuomba kazi kqa vile nilifanya field pale nikawaambia nitajitolea bure ila walikataa. Wanajua sheria inakataza na kwa lugha ya kizungu tunaweza sema a modern slavery mode activated in a smarter way. Namshukuru mungu pia kwa kunyimwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia imeisha

    Mkuu ume'assume' watu wote tunatumia voda tupe wa tigo humo ndani kunani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi kirahisi

    utakosaje kazi kama umesomea kazi? Mkuu unajua unaloliandika ???? Umekunywa viroba asubuhi ???? Ina maana kama umesomea kazi huwezi kukosa kazi ??? Mbona unaongea utumbo mkuu hapa kwa great thinkers ???? Si uende kule kwa watoto wenzio wa fb ????
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa fasta

    Mkuu 4.5 tumalize biashara. Si unaona ushuhuda wa wazoefu mkuu ????
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

    Katisha mbaya mondi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Miss Uganda 2014...hii nitaiacha hapa wadau, mwenzenu nasepa!

    Baada ya la Sita na Siti hilo ni la Situ
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni STRABAG! Dar Rapid Transit imefana mno!

    Jamani wale wazazi 2etu wenye daladala na coaster wataxipeleka wapi ??? Maisha yatakuwaje ???
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

    Garl ndo nini ????
Back
Top Bottom