Recent content by best n

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Weka majibu ya vipimo yako vya ukimwi kwanza!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ufaulu Kidato cha 6 ni 99.9%. CCM na Samia Washaharibu Elimu ya Tanzania. Mlaaniwe hadi Kizimkazi pasiote nyasi

    Si kwamba 99.9% wamepata 99.9% ama kundi kubwa wamepata 99.9% kwenye masomo yao! Ufaulu form six huanzia A -S. Sasa hapo huo ukipanga nchi nzima unakujaje? Ni sawa na kusema 0.1% ya form six wamepata F!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji spare ya SAA aina ya SEIKO

    Hii spare bado ipo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Mlipeni kwanza pesa zake!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mateso anayonipa jini mahaba

    Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mateso anayonipa jini mahaba

    Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wangu *Fanya ibada *Kua positive kwa kila mtu *Pambana kulipa madeni yote na uanze kusave kidogo kidogo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama Kijana nimeamua rasmi kuikumbatia CHADEMA

    Sasa andazi ukikutana na chai nzito tayari kwisha habari yako.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Magari "used" ya kuepuka

    Aaah ok
  9. B

    JamiiForums Tanzania Magari "used" ya kuepuka

    Ina shida gani mkuu?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kutafsiri matini yangu toka Kiingereza kuja kiswahili

    In Inategemea na kazi yenyewe kama ni matini ya kawaida au ya kiufundi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, kila nafsi itaonja mauti?

    Kila nafsi itaonja mauti. Na bila shaka mtapewa ujira wenu kamili siku ya kiama. Na aliyewekwa mbali na moto na akaingizwa peponi, basi amefuzu (amefaulu kwelikweli) na maisha ya dunia (hii) sii kitu ila ni starehe idanganyayo watu. Quran 3:185
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

    Kwani walifanya hayo kama hongo,ili hata kama watakosea asiwaseme?
Back
Top Bottom