Recent content by Best home tutor

  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ukisema hawatufai wanakuumiza uwe mpole

    Habari za hasubuhi ndugu wanajamiiforums Africa. Dunia haina huruma kabisa kwa binadamu yeyote ,nimelitambua hili baada ya kutaka kuumizwa na watu niliowaeleza ukweli ofisini kwangu Dunia ya sasa haitakiwi useme ukweli ni either uwe chawa au ukubaliane na maamuzi ya mkubwa wako hata kama sio...
  2. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye huduma ya tuition nyumbani [Home tuition]

    Naomba tenda mkuu
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye huduma ya tuition nyumbani [Home tuition]

    Je, unahitaji mwalimu bora wa kumfundisha mwanao nyumbani? Sisi tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma za Home Tuition kwa wanafunzi wa: ✅ Nursery & Kindergarten ✅ Standard I–VII ✅ Form I–VI ✅ Vyuo na Vyuo Vikuu ✅ Watu wazima (Adult Education) 🎯 Tunafundisha masomo yote kwa mitaala yote, ikiwemo...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Je, mshahara wako unaendana na gharama za maisha za sasa? Simenti nayo yapaa bei

    Kweli mpk uwe na issues za ziada
  5. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Je, mshahara wako unaendana na gharama za maisha za sasa? Simenti nayo yapaa bei

    Watanzania wanapaswa kujiandaa kwa bei ya juu ya saruji baada ya wazalishaji wakuu kutangaza nyongeza mpya ya bei, hatua inayotarajiwa kusukuma gharama ya rejareja ya mfuko wa kilo 50 zaidi ya Sh18,000 katika baadhi ya masoko. Marekebisho hayo, yanayoanzia Sh500 hadi Sh650 kwa kila mfuko kabla...
  6. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Binti apotea baada ya matokeo ya kidato cha sita

    Binti mwenye umri wa miaka 19, Neema Phinias Eric (maarufu kama Anifa), mkazi wa Tarime Sirari, anadaiwa kutoweka nyumbani kwa dada yake alipokuwa amekwenda mapumzikoni tangu Siku ya Jumatatu, Julai 6, 2026, kufuatia kutoka kwa matokeo ya Kidato cha Sita. Neema, ambaye alikuwa mwanafunzi wa...
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tuletee mwanao leo tumlee kwenye level za kimataifa.

    Tuletee mtoto asome na tumlee katika maadili ya kidini huku akipata elimu yenye maarifa ya vitendo.
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Sisi ndio mabingwa wa elimu bora Tanzania ,usisubirie kusimuliwa tupe mtoto wako leo uwe shuhuda wetu

    Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa! Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners). Tunafundisha: ✅ Mitaala yote ya shule ✅ Kiswahili ✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano: 🇬🇧...
  9. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Chumba kimoja Dar chapangishwa kwa watu 30 bila wao kujijua mwenye nyumba atokomea kusikojulikana

    Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa anadaiwa kutoweka na hajulikani alipo. Camera za AyoTV zimefika eneo la tukio na kuzungumza na...
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Leo ni Sabasaba, siku inayojulikana kwa maadhimisho ya biashara nchini Tanzania. Kwa nini biashara nyingi zimefungwa na bodaboda hawajapata wateja?

    Ikiwa leo ni siku ya biashara, wengi wangetarajia shughuli za kiuchumi kushamiri. Badala yake, baadhi ya wafanyabiashara wamefunga maduka yao, huku waendesha bodaboda wakisema idadi ya wateja imepungua. Je, hali hii inatokana na watu wengi kuelekea kwenye shughuli za Sabasaba? Au ni ishara ya...
  11. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Hapokei Hajibu sms Hajibu whatsup text.
  12. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Admission for 2026 are now open!

    SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL Where Little Minds Grow into Bright Futures Are you looking for a school that provides a strong academic foundation in a safe, caring, and inspiring environment? Sprouts Pre & International School is delighted to announce that Admissions for the 2026...
  14. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tuletee mwanao leo tumlee kwenye level za kimataifa.

    SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio? Sprouts Pre & International School inafungua rasmi Usajili wa Wanafunzi kwa Mwaka wa Masomo 2026. Tunapokea...
Back
Top Bottom