hajafanya ukaguzi sababu ana wasi wasi...naomba ieleweke hivyo kwanza...Afu pia Anko Magu anaweza jua taarifa ya hayo magari bila hata kufika hilo eneo la tukio....ko kufika ni katika tu kuwapa morale wanajeshi na kuonesha he is serious with the issue
gari sabini na tano zipo Pale kikosi cha usafirishaji ,magari mengine yapo Dar lakn sio kikosini,Mengine yapo Mikoani (yanaweza letwa Unajua nature ya Magu hakubali shindwa), sio Magunia yote yana enda dar mengine yanaenda pale pale Lindi na Mtwara Kwahiyo trip zaid ya moja zitasombwa..pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.