jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Kuna ombwe la jinsi gani Watumishi wawe wa umma au binafsi wapongezwe na kutambulika kutokana na juhudi zao makazini.
mara nyingi tunaishia kuwapa fedha kiduchu,mifuko ya saruji na mabati.
Nashauri TUCTA ije na njia nyingine ya kumotivate watumishi kwa kuanzisha tuzo maalumu kwa watumishi wenye mchango wa kutukuka katika ujenzi wa Taifa.
napenda kushuhudia mtumishi mchapakazi mmoja anapata tuzo maalum kwa kuanzia iitwe tuzo ya Patrick Mfugale.
Nawasilisha kwa majadiliano.
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!