Habari za leo wana jukwaa,
Kwa mara ya kwanza, najitokeza hapa nikiwa na nia ya kutafuta mwanamke ambaye tutakua naye katika mahusiano, na hatimaye kuwa mme na mke.
Mim ninaish Dar, umri wangu miaka 26, ni muajiliwa katika taasisi moja wapo hapa Dar.
Sifa za mwanamke ninaye mtafuta, awe na...