TANZIA: Great Thinker mwenzetu, Lwitiko Edward Matipa amefariki

TANZIA: Great Thinker mwenzetu, Lwitiko Edward Matipa amefariki

My thoughts and prayers are with the families and love ones. RIP bro. May God rest your soul in P.
 
Ulikuwa kaka, Rafiki, patner, kiongozi na yote

Tarehe Ya jana 04th October 2017 ulivuta pumzi yako ya mwisho hapa duniani. Tuanakukumbuka kwa misimamo yako isiyoyumba bila kujitakia umaarufu. Ucheshi wako na ushauri wako wa namna ya kupambana na hali za maisha wewe ukiwa ni mfano wa kweli kwa vijana.

Ukarimu wako pia ulijaliwa vipaji lukuki ikiwemo kuimba na kufundisha nyimbo. Naamini pale Conerstone Church Mwembetogwa Iringa watakumis zaidi kwa hayo

Pole Familia ya Mchungaji Edward Matipa, Pole Dada Veronica James- Manager wa Agakhan Hospital Iringa kwa kuondokewa na Mumeo

Anyway kaka Tiko you have gone too soon but God has taken one of his good fuits
Tutayaaishi mema yote uliyotuachia

Mungu akulaze mahali pema alipokuandalia, Nasi twaja.
Amen

Apumzike kwa Amani! [emoji1431]
 
k
Alijulikana kwa jina gani humu?(fake ID).
wa michango yake humu hakutaka kujulikana kamwe hivy acha tumlindie heshima na matakwa yake coz nimeshataja jina halisi na picha lets don't connect ila baada ya siku si nyingi utajua ni nani profile yake imesiz coz ni maarufu humu.
 
Pumzika kwa amani brother.Mungu akupe nafuu.
 
Back
Top Bottom