Habari zenu wakuu
Sii vibaya tukikumbushana maana ni ustaarabu wa kawaida kabisa.
Unakuta mtu ana shughuri yake maybe send-off au ndoa, na anahitaji michango kutoka kwa wadau ndugu jamaa na marafiki na huyo mtu unaehitaji mchango wake hujawasaliana nae zaidi ya mwaka, siku unayomtafuta unampa...
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.