Recent content by Benoni

  1. Benoni

    JamiiForums Tanzania Kupotezwa, Kujipoteza, Kujitafuta na Kujipata!

    Kila nikitaka kuacha kuisoma panazidi kua tam mpaka nmeisoma mara tatu,,ubarikiwe mzee.
  2. Benoni

    JamiiForums Tanzania Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Jamani eeh? yeyote anaendesha gari la babake asituringie sie tunayo endesha baiskeli tulonunua kwa nguvu zetu!!!
  3. Benoni

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako..ila wewe hapo unatengeza tu ushuhuda..sauli ndo alikua mbane lakini alipo kutana na Simba wa yuda mmhhh...alipondwa pondwa akafinyangwa finyangwa mengine Ni historia,am done.
  4. Benoni

    JamiiForums Tanzania Freemason wa Kenya kufunguka kuhusu taasisi hiyo mahiri. Ni saa tatu usiku, msikose

    Baada ya hapo aliishi miaka mingp
  5. Benoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    God forbid!!
  6. Benoni

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

    Hayo ndo yalinikela pale nilipoishi kwa dadangu so Kila siku bwana shemj anaamka amejifunga taulo najua tu hapa Dada kashugulikiwa kweli[emoji1787][emoji1787]
  7. Benoni

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

    Naomba tusijasusiane!!!
  8. Benoni

    JamiiForums Tanzania Muonekano wako umechangiaje kufaulu au kufeli kwenye maisha yako?

    Umenikumbusha mbali sana..nlivyopata kazi ya ufundi kwenye kambi moja ya jeshi jina kapuni..Jambo afande na saluti za kutosha zilini chosha akati hata mgambo sikupitia duh!!!
  9. Benoni

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mna matatizo gani? Mahojiano ya Salama na Kikwete yamenihuzunisha sana!

    Wajumbe tulikaa na tukampangia maswali ya kuuliza maana waandishi wa habari wa Sasa hivi kuchafua hali ya hewa hawajambo.
  10. Benoni

    JamiiForums Tanzania Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Watu tulitaftana kwa tochi maana aibu ya hpo!!
  11. Benoni

    JamiiForums Tanzania Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Siku ambayo sinto sahau ni pale tulipo peleka mahari ukweni..ebwanae si wakaleta kitu cha SBL mwanzoni ilianza vzr lkn ilipo fika hatua watu tukaanza kunena kwa lugha,,kama mjuavyo hikitu ikiishaingia na lazima iambatane na aja ndogo Yan hapo utake usitake ni lazima,basi bwana kwa kua tulikua...
  12. Benoni

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wavurugwa, annual increment wanasema punguzo la kodi

    Sisi tusio juwa peisilipu ndo nn 2komenti wap duh!kuajiriwa changa faya kwa kweli!!!!
  13. Benoni

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusiana na Wilaya ya Tarime

    Maana ya sirari
Back
Top Bottom