Ukiongelea Tanga usiangalie jimbo la Tanga Mjini tu,angalia majimbo kumi yalionaki,ni kweli CUF inakubalika Tanga Mjini kutokata na mila na desturi za watu wa Tanga Mjini Ipo Pangani,Ipo Mkinga.Je ni kweli CUF ipo majimbo yote ya mkoa wa Tanga?
CUF korogwe imekufa,Korogwe,Vijijini...