CHADEMA kimeutoa mkoa wa Tanga sadaka kwa CCM

CHADEMA kimeutoa mkoa wa Tanga sadaka kwa CCM

Hata mikoa ambayo CHADEMA inakubalika haishindi kwa asilimia angalau 60,sasa ukishinda kwa mfano Kagera kwa 54% halafu Tanga unashindwa kwa 86%,mikakati yako haina maana.

CHADEMA itakuja kulia isipoutilia mkoa wa Tanga maanani kwa kuamini CUF ndio imakubalika.CUF haina investment yoyote ya maana ya kisiasa mkoa wa Tanga.Matokeo ya 2010 sio kipimo kizuri kuuweka mkoa wa Tanga rehani.

Hivi wewe ni kuwadi wa mgombea gani wa urais?ni kufuatia kauli ya mwenyekiti wenu?
 
Kuna kitu mnamiss!. Isimame CHADEMA, NCCR, CUF ama Chama chochote kilicho ndani ya UKAWA, ushindi ni UKAWA.

Kama CHADEMA imejiimarisha Tanga kuliko CUF, CHADEMA na UKAWA wote watampigia kampeni na kura mgombea atakayesimamishwa bila kujali anatoka chama gani.

Uelewe mziki wa UKaWA si wa kitoto na ndiyo maana CCm wanaweka mpira kwapani, wafute habari za uadilifu, uzalendo wala utaifa, wasimamishe fisadi mtoa rushwa ili kupambana na UKAWA. Wanaona tatizo kwao la kutatua ni UKAWA na si shida za Watanzania. Kwenye hoja na kibali wamekwisha angukia pua, sasa wanakarata ya kutumia ufisadi na rushwa!.

Wanasahau kwamba rushwa zao hazitavuka mpaka wa ccm, kuingia UKaWA!. UKAWA ni taifa kubwa. Unaungwa mkono na kila Mtanzania asiyefisadi bila kujali vyama.

Viongozi wa UKAWA wako kimya wanamalizia mikakati ya kuingia magogoni mwezi October wakati Ccm wanaanza sarakasi za kutafuta nani fisadi zaidi mwenye nguvu ya rushwa na fedha ahonge ili waendelee kumiliki nchi. Baada ya kuwafutia makosa na uwasafisha, sasa wameagiza hadi mamluki toka nje ya nchi kina Rostam Aziz waje kuwapiga jeki. Ili baada ya October, waimarishe ufisadi zaidi!.

SI TANZANIA!. TANZANIA NI YA WATANZANIA CHINI YA UKAWA NA SI CCM CHINI YA MAFISADI.
 
Hivi wewe ni kuwadi wa mgombea gani wa urais?ni kufuatia kauli ya mwenyekiti wenu?

Katika mambo tunauokosea ni kuwa wabishi kwenye mambo ya msingi.UKAWA inatakiwa kuwa na mkakati wa pamoja kupunguza kura za CCM Tanga.Huu ndio ukweli.

CCM inapita bila kupingwa kwenye robo ya kata zote za majimbo ya Tanga UKAWA wakibweteka.Mfano mzuri ni jimbo la kilindi ambalo halina viongozi wanaoeleweka wa vyama vyote: CUF,CHADEMA,NLD na NCCR.
 
Hapa Tanga hawaelewi watu wagumu. Labda cuf kwa I man ukawA wanaweza kujaribu
 
Kuna kitu mnamiss!. Isimame CHADEMA, NCCR, CUF ama Chama chochote kilicho ndani ya UKAWA, ushindi ni UKAWA.

Kama CHADEMA imejiimarisha Tanga kuliko CUF, CHADEMA na UKAWA wote watampigia kampeni na kura mgombea atakayesimamishwa bila kujali anatoka chama gani.

Uelewe mziki wa UKaWA si wa kitoto na ndiyo maana CCm wanaweka mpira kwapani, wafute habari za uadilifu, uzalendo wala utaifa, wasimamishe fisadi mtoa rushwa ili kupambana na UKAWA. Wanaona tatizo kwao la kutatua ni UKAWA na si shida za Watanzania. Kwenye hoja na kibali wamekwisha angukia pua, sasa wanakarata ya kutumia ufisadi na rushwa!.

Wanasahau kwamba rushwa zao hazitavuka mpaka wa ccm, kuingia UKaWA!. UKAWA ni taifa kubwa. Unaungwa mkono na kila Mtanzania asiyefisadi bila kujali vyama.

Viongozi wa UKAWA wako kimya wanamalizia mikakati ya kuingia magogoni mwezi October wakati Ccm wanaanza sarakasi za kutafuta nani fisadi zaidi mwenye nguvu ya rushwa na fedha ahonge ili waendelee kumiliki nchi. Baada ya kuwafutia makosa na uwasafisha, sasa wameagiza hadi mamluki toka nje ya nchi kina Rostam Aziz waje kuwapiga jeki. Ili baada ya October, waimarishe ufisadi zaidi!.

SI TANZANIA!. TANZANIA NI YA WATANZANIA CHINI YA UKAWA NA SI CCM CHINI YA MAFISADI.

Ukiangalia uchaguzi wa 2010 Tanga combined kura za CHADEMA na CUF kwenye majimbo mengi hazifiki nusu ya kura za CCM.

Ukiangalia toka 2010 kwa mfano CUF hijafanya movements zozote za maana mkoa wa Tanga.

Tujue kwamba Tanga hakuna NCCR wala NLD.Ushindi sio miujiza ni mikakati,sasa kama UKAWA wanagawana majimbo mezani bila kuwa na mpango madhubuti ya kujijenga mkoa wa Tanga usitegemee miujiza.

Mpaka sasa CCM wanaweza kupita bila kupingwa kwenye robo ya kata za majimbo ya mkoa wa Tanga.
 
Hapa Tanga hawaelewi watu wagumu. Labda cuf kwa I man ukawA wanaweza kujaribu

Ukiongelea Tanga usiangalie jimbo la Tanga Mjini tu,angalia majimbo kumi yalionaki,ni kweli CUF inakubalika Tanga Mjini kutokata na mila na desturi za watu wa Tanga Mjini Ipo Pangani,Ipo Mkinga.Je ni kweli CUF ipo majimbo yote ya mkoa wa Tanga?

CUF korogwe imekufa,Korogwe,Vijijini imekufa,Wilaya ya Lushoto imekufa n.k.
 
Hivi vyama vingine vinavyo form UKAWA mbona sioni kama viko busy, is only Chadema! Hivi Tanga sio ngome ya CUF kweli? CDM ikipeleka majeshi yake kule najua ndani ya mwezi 1 tu kitakua kimeeleweka and huo tena utakua mwanzo wa uhasama na CUF, please Magdalene Sakaya, Salum Kambaya kama mnausoma hu uzi hu ndio wakati wenu wa kujipanga kimkakati na mkoa hu, kama mmeshindwa waambieni makamanda wa CDM, wenyewe wana majeshi yote, ya baharini, nchi kavu na hata ANGA pia wanayo.
 
Kamanda Mbowe alienda Muheza Kata ya Tingeni na Genge CCM ikapumulia mashine.Wakamatuma Mwigulu Nchemba na JM kuokoa Jahazi.

Kata ya Genge alimanusura iende CHADEMA.Naashangaa mdogo wangu Kamanda Mbowe kuachia Tanga kwenye mikono ya CCM.

Mkoa wa Tanga sio ngome ya CUF tuache kudanganyana,tisipoangalia UKAWA inapigwa na CCM zaidi ya asilimia 70.
 
Tanga itajengwa na wanaTanga wenyewe ........

UKAWA itafute kura Tanga.Kura za mezani hazipo Tanga.CCM wapo kazini wanafanya rafu...mfano mzuri waliweka mapingamizi ya makusudi kuwaengua wagombea wa vijiji na vitongoji 2014 wakijua UKAWA wamelala.
 
Wanajef, kwa kweli huu mjadala wa kupeana mbinu nimeupenda. Kila anayejua la kushauri atoe ushauri wake, nina imani UKAWA wanayasoma haya maoni na watayafanyia kazi. Najua palipo na mazuri hapakosekani mabaya kuna wanaoingiza mzaha kama dadayetu Lizaboni lakini mpuuzeni. Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Ukawa
 
Back
Top Bottom