Recent content by benny njaidi

  1. B

    JamiiForums Tanzania NAOMBINE USHAURI TAFADHAR

    Kwa majina naitwa Benny..mm no muhitimu was kidato cha sita mwaka huu 2016. Ninapenda sana kusomea masuala ya uchoraji wa ramani na hicho ndio kipaji changu kwani mpaka sasa na weza kuchora na kudizaini ramani tatizo ni kuwa nina lack baadhi ya skills zakitaalamu kwasababu bado cjaingia kusomea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Afya ni jambo la msingi kwetu sote, jali afya yako na ya watu wengine kwa maendeleo ya Tanzania

    Habari za Leo wakuu. Tadharini sana na karibisha mawazo,ushauri,ushirikiano na lolote lenye kujenga na kuimarisha wazo langu nalotaka kuliwasilisha kwenye wakuu. Kwanza kabisa mimi ni "form six leaver" wa mwaka huu wa 2016. Ninahitaji kuanzisha CLUB itakayo juhusisha na masuala ya kutoa elimu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania MAISHA: Naumia sana, kwanini huwa sipati mtu anayenijali?

    Sometimes people are not like human being but usihofu ndio dunia iliyo we muombe mungu wako akupe hekima busara na maarifa hcho ndicho cha msingi zaidi...just be tolerant
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta tuition center au shule nifundishe Economics

    Kama wadau walivyo nena mkuu. Kuwa chini ya MTU ni kunyonyana nguvu afu unakuwa unatumikishwa sana then mshahara kidogo. Mm npo tayari kushirikiana na ww pia kaka somo la geography both physical and practical geography kwa O LEVEL & ADVANCE LEVEL Naishi dar MBEZI MWISHO...MAWASILIANO...
Back
Top Bottom