Afya ni jambo la msingi kwetu sote, jali afya yako na ya watu wengine kwa maendeleo ya Tanzania

benny njaidi

New Member
Jun 9, 2016
4
2
Habari za Leo wakuu. Tadharini sana na karibisha mawazo,ushauri,ushirikiano na lolote lenye kujenga na kuimarisha wazo langu nalotaka kuliwasilisha kwenye wakuu.

Kwanza kabisa mimi ni "form six leaver" wa mwaka huu wa 2016. Ninahitaji kuanzisha CLUB itakayo juhusisha na masuala ya kutoa elimu juu ya afya hasa hasa itajikuta ktk magonjwa yasio ambukizwa kama vile moyo, figo, kisukari, BP n.k.... Pindi tu nitakapo ingia chuoni.

Ndugu zangu sio siri naguswa sana na swala hili japo kuwa wapo watu wengi wanaojaribu kunikatisha tamaa kwa kuniambia sintoweza huku wakinishauri niachana kabisa la hilo swala then nitafute mishe nyingine itakayo niingizia fedha. Lakini kiujumla sintoweza kuacha kufanya jitihada za kutimiza jambo hili kwasababu naguswa nalo sana na lipo katika kibao cha moyo wangu.

Siku zote huwa naamini kuwa MABADILIKO NI MIMI NA SIO WAO hivyo kama jamii yangu ya kitanzania inahitaji mabadiliko basi MIMI NI MIONGONI MWA WALETA MABADILIKO. kwa mutasari tu ni kuwa CLUB hii ni VOLUNTEERS CLUB na ni club inatakayo husu masuala ya afya kwa ujumla wake hasa hasa maradhi sugu ya sio ambukizwa.

Ninahitaji kuisajili club hii ili ipate kibali cha kuoperate tanzania nzima mijini na vijijini pamoja na kutimiza adhima niliyo iweka ya kuisaidia jamii yangu. Hivyo nakaribisha ushauri wenu pamoja na mengineyo mengi yenye kulijenga vyema jambo hili na kulitimiza.

SISI SOTE NI WATANZANIA, MABADILIKO NA MAENDELEO NI YETU SOTE HIVYO TUSHIRIKIANE KUYALETA KWA FAIDA YETU SISI WENYEWE. NDUGU & JAMAA ZETU PAMOJA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kweni.

ASANTENI..
 
Wazo zur mkuu labda weka mode of operation ya hiyo club itakavyokuwa, i mean utaajr watu wa aina gn na watakuwa na shughuli gn kwny hyo club na pia watu watanufaikaje na hiyo club. dadafua mkuu tusaidiane mawazo
 
Back
Top Bottom