Natafuta tuition center au shule nifundishe Economics

Niliwahi kufanya hiyo shughuli tena nilikuwa nimemaliza form 6, niliwakusanya vijana wq mtaani nikawa nawafundisha home kwetu bure,baadae wakaenezeana habari wakawa wanajaa wengi,wenyeww nikawapa task ya kutafuta venue wakapata nikawa nawafundisha ...self initiative yako kwanza ndo inayotakiwa hela ni nyongeza tu mkuu
 
Kaka wazo ulilopewa la kuanzisha kituo chako mwenyewe,bila Shaka ni swala la msingi sana..kikubwa nikutafuta ushirika na wataalamu wengine ili uhakikishe unatoa elimu iliyo bora kwa masomo yote...Mimi nipo tayari kushirikiana nawe kwa somo la kiswahili na English in literature,kama utakuwa upo tayari basi tunaweza kuwasiliana kwa namba 0656415981.
 
Bwana mliverpool hongera kwa kuwa una elimu nzuri kwanza. Ningependa kukufahamisha kuwa mm nafanya kazi mahali maeneo ya mbezi beach masoko na kuna DARASA kubwa ambalo linaweza kutumika kama tuition ni suala la kutafuta wanafunzi kwa kupromote na mambo yakaenda na zamani lilitumiwa na walimu wa ESACS school kabla haijafungwa hivyo mahala pa kuanzia papo ni wewe tu kama una nia. zaidi tuwasiliane kupitia 0712672210 au 0756047277.
 
Ppge ni miezi 9 tu inakupa mbinu za kufundishia na kurigadi kama mwl sasa ambapo mwanzo ulikuwa na digrii isiyo ya elimu
 
Kama wadau walivyo nena mkuu. Kuwa chini ya MTU ni kunyonyana nguvu afu unakuwa unatumikishwa sana then mshahara kidogo. Mm npo tayari kushirikiana na ww pia kaka somo la geography both physical and practical geography kwa O LEVEL & ADVANCE LEVEL
Naishi dar MBEZI MWISHO...MAWASILIANO: .Njaidibenny@gmail.com au simu nambs 0625994440 or 0716679983
 
na mm mkuu tunaweza kuwa pamoja nafundisha mathematics 0672671066
 
Kaka wazo ulilopewa la kuanzisha kituo chako mwenyewe,bila Shaka ni swala la msingi sana..kikubwa nikutafuta ushirika na wataalamu wengine ili uhakikishe unatoa elimu iliyo bora kwa masomo yote...Mimi nipo tayari kushirikiana nawe kwa somo la kiswahili na English in literature,kama utakuwa upo tayari basi tunaweza kuwasiliana kwa namba 0656415981.
Nipo tayari kushirikiana na nyinyi katika biology na chemistry both in o level and A level. Nina BSC.ED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom