NAOMBINE USHAURI TAFADHAR

benny njaidi

New Member
Jun 9, 2016
4
2
Kwa majina naitwa Benny..mm no muhitimu was kidato cha sita mwaka huu 2016. Ninapenda sana kusomea masuala ya uchoraji wa ramani na hicho ndio kipaji changu kwani mpaka sasa na weza kuchora na kudizaini ramani tatizo ni kuwa nina lack baadhi ya skills zakitaalamu kwasababu bado cjaingia kusomea. Mm nimesoma mchepuo wa HGE xo je nitaweza kusomea hiyo kozi chuoni hapo mnamo mwezi wa kumi?....na kama sinto weza nifanyaje ili niweze kujiendeleza ktk kipaji changu hiki?......naombeni msaada wana JF....naamini kwenu nitapata ushauri nzuri usio na ubabaishaji.ASANTENI
 
Back
Top Bottom