Recent content by Benjamin10

  1. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yatoa hati zaidi ya 470; waziri Dkt. Akwilapo, ahimiza ufanisi, haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Utaratibu wenu wa utoaji hati una mchakato mrefu sana usio na msingi, na unachukua muda mrefu sana zaidi ya miaka 3 rekebisheni utaratibu
  2. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania KERO CHANGAMOTO YA KURAMISHA VIWANJA NA KUTOA HATI WILAYA YA MWANGA

    We kama unataka kujenga we Jenga tu, watakuchelewesha hao
  3. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania KERO CHANGAMOTO YA KURAMISHA VIWANJA NA KUTOA HATI WILAYA YA MWANGA

    Wakiona kiongozi kafanya mabaya na anazungumzwa kwa mabaya mitandaoni, wanamuhamisha badala ya kufukuzwa
  4. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

    Hujanyoosha maelekezo kipi ulimfanyia mpaka ahisi umemdhalilisha, ulibaka? Au ulitembea na mfanyakazi mwenzake?? Maana mpaka mwanamke akublock si jambo dogo!! Au ni deko tu? Ndo tatizo la kuwalea wanawake kama mayai,, huyo ilitakiwa unampiga VIBAO mara mojamoja akuheshimu
  5. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Ukiwa tayari utaoa, bado hapo tayar kua kwenye ndoa
  6. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

    Duh, ilete hyo part two sasa, ili niweze kutoka neno
  7. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Wanayaweka majeshi yetu yawe katika utayari Kila muda, kama majeshi yetu yanavyofanya mazoezi ya utayari kama Zima moto vile wanavyozuaga taharuki
  8. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

    Safi kabisa hili suala naliunga mkono, na Tena hiyo nyumba uliyokua umempangia lingekua linasoma jina lako kwenye mkataba wa upangaji, ili kama angeenda police kulalamika kua amefanyiwa fujo kwake, ungewaonyesha mkataba wa upangaji unasoma jina la nani ! Ndo atajua ni kwake au kwako!😂😂
  9. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

    Huyo wa kwanza mwanajeshi, alikua anakupenda sana, sema tu tamaa au Kuna shinikizo lilimpelekea mpaka akaamua kuolewa kimya kimya, ili asikuumize roho, Huenda aliyemuoa ndiye aliyempatia mafanikio aliyonayo kwa sasa, kwa Hadi ya kuoana, Wewe ulikua na Hadi Gani kwake?
  10. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Responded Waraka wa Katibu Mkuu kuhusu MUDA WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA UHAMISHO KUPITIA MODULI YA e-UHAMISHO

    Hivi mnaoomba uhamisho huwa mnalipwa? Au mnahama Bure?
  11. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha. Madeni na kesi vyamwandama

    Kuna siku nikisema huyu kwa staili yake ya maisha, Hana muda mrefu
  12. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Walimu Wana maisha mazuri na mishahara mizuri sana, sema tu WANA pretend.
  13. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Azam TV inawameza wengine

    Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50 Ndo hapo, kupata ataweza kupata, ila wadau NYINYI mnaweza kuilipia kifurushi cha 100K?? Yeye anaangalia atarudishaje hyo pesa na faida atapataje??
  14. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Azam TV inawameza wengine

    Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50K
  15. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Mlilalamika Nchi imefungwa, leo imefunguliwa mbona kimya?

    Wana jamvi, hili nalo ni tangazo linastahili kulipiwa.
Back
Top Bottom