Recent content by benjamin shigallah

  1. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya ulipaji kwenye makapuni ya kuagizia magari

    Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo clearing imesimama kwaajil ya nshu gani. Mana kuna dar es salaam bila neno clearing.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tv za Panasonic ubora wake

    Naomba msaada wa kujua chochote kuhusu tv digital inches 43 kutoka kampuni ya Panasonic ubora wake na changamoto nipo ukingoni kuchukua maamuzi ya kununua sasa tatizo sijajua zaid juu ya ubora na changamoto
  3. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Foreign Exchange

    Nashkr sana nmeelew vzr
  4. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Foreign Exchange

    Nisaidie na muda wa kutumika kwa noti ya USD
  5. B

    JamiiForums Tanzania Unapoweka malengo ya kufanikiwa, zingatia jambo hili

    Kaka umenena nlichokichua hapo ni hiyo statement
  6. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Foreign Exchange

    Kaka binafsi nahitaji kupata elimu juu ya pesa za kigeni hususan dollars mana zina masharti mengi sana mfano nasikia ikiwa noti ya USD imechakaa thaman yake inashuka nataka kujua inashuka vp na kwa kiwango gan,kingine muda wa kutumika hiyo pesa toka izalishwe nini kitu cha kuzingatia wakati wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Yote kwa yote mtoa maada umeielezea mada na hoja zenye mguso hakuna mtu alie wazi kuweka vtu kama hivi muhum kwaajir ya mwingne kilichobaki subiri mrejesho wa mafanikio kupitia wasoma mada naamin hilo ndo tumaini lako sio hoja za mitaji, wazo utupe na mtaji pia... hahaha thanks brother
Back
Top Bottom