Naomba niulize swali, nafanya kazi serikalini, kwa Bahati nzuri nimepata kazi nyingine ya private ambapo wananilipa vizuri na kwa mda huo nimechukua mkopo NMB na katika makato cjafikisha hata mwaka.
Je niwalipe pesa yao au niondoke kimyakimya?, je kuna madhara yoyote yatakayo nipata?.
Naomba...
Duh!! Nimesoma coment yako nimeumia japo ulichosema ni cha ukwel maan hata mim natak nibadilishe professional nichukue nyingine yani kwa mfano labda utoke ualimu uende human resource.nimfano tu c wa kwel.
Wanaharakati wenzangu naombeni msaada kwa anayefahamu application form za masters za vyuo hivi zinatoka lini na qualifiction zao ni zipi yan wanachukua GPA ya ngapi?UDOM,MZUMBE,&ST AGUST YA MWANZA
Thanx kababi, hiyo pia nilifikiria sema sas huon kam kuanza postgraduate then masters itachukua muda sana ukiangalia yenyew ni ruhusa umepew kazin ya two years Kababi
Wanajamii forum naomba ushauri.mfano na degree ya education then nataka nikajiendelez masters ya kitu kingine may be human resource or public administration.je inawezekana? Kama ndio je kwenye ajira naweza pata au nd itakuw tabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.