Recent content by benfica2010

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

    Nasikia kuna chama cha upinzani kimekopeshwa hela, baada ya uchaguz kitaturudishia, na maisha yatenda km kawaida.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

    Hawawezi kukujibu mkuu, wasaniii wale
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

    Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Vijana wa CHADEMA wana Uwezo Mdogo Sanaaaa wa Kujenga Hoja Na Kuonekana Wengi hawana adabu?

    Apa siyo darasani, kitendo cha ww kuandika liujumbe mreefuuu kama kitabu kinaonyesha wewe mwenyewe kwanza una uwezo mdogo pengine kuzidi hao uwasemao. Pili tambua mtu kuwa chadema au ccm ni suala la kiitikadi ya mtu. Umeongea km vile unahisi kuna kundi linazaa ccm na lingine linazaa Chadema...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Scania number T.696 CDZ unaibiwa mafuta hapa Mbalizi

    Alikuwa anafaurisha mafuta huyo, kutoka tank moja la ziada kwenda kwenye tank la kaz. Gar zingine hazina automatic pump ya kufaurisha. Acha tabia ya kiboya kuwazia mtu negative bila uchunguz wa uhakika. Unaujuwa mfumo wa mafuta wa Shania kwel??
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Natamani watu wa Gambush waweke nguvu kwenye jengo jeupe! Sijui wanachelewa nini
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Ponjoro wa kinondoni nini wewe, unaleta uchawi janvini kweli!!!! Sema kwanza NO REFORMS NO ELECTION.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Niwahakikishie hakuna maisha ya Mtanzania yatapotea kwa kuwa tu kumepungua fedha za misaada au wahisani kutoka nje

    Sasa km ndege za ulaya haziji tz, watalii na fedha za kigen tutapaje?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Nasikia air India imeanguka, nimeumia sana jaman wahindi walivyo na roho nzuri. Si bora ingeanguka air ANIZANTA!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Marekani nayo saa nyingine inazingua, kwanini isimtandike yule mkuu wa watekaji jaman!!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

    Umewai kupitia Milembe? Nisije kukujibu kumbe nakuonea
  12. B

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms no election
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    No reforms no election. Wangekatwa masikio tu
Back
Top Bottom