Recent content by Bendera Esq

  1. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Wananchi kukataa bado hakuwezi kuhakikisha matokeo. Sheria ikishapitishwa serikali ina wajibu wa kuhakikisha inatekelezwa. Hilo ni moja kati ya majukumu ya serikali na haiwezi kulikimbia.
  2. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Soko huria lina mipaka. Kuna baadhi ya mahusiano ya kibiashara, ajira na bidhaa zinadhibitiwa na sheria ili kuwalinda wasio na nguvu kwenye soko, kulinda ustawi wa wananchi na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mfano huwezi kutoza nauli ya dalala au basi zaidi ya kima kilichowekwa na LATRA ukasema eti...
  3. Bendera Esq

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Sio tu 30s, hata nikiwa 40s siwezi kuoa ajuza.
  4. Bendera Esq

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Mimi nikiwa na ushahidi usio na shaka kwamba mke wangu ameliwa, hiyo ni talaka with immediate effect.! Girlfriend aliwe hata mara milioni. None of my business. Ila kwa mke no way naweza kukubali kuitwa mume wa mwanamke ambaye najua wazi kuwa ameliwa during subsistence of our marriage.
  5. Bendera Esq

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

    Mkuu sio kwamba nakula bata. Mambo ni magumu. Nomba usimfukuze mwanangu. Nisaidie tu kulea. Akikua nitamwambia akusaidie na wewe.
  6. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Hii alihojiwa na akaongea yeye mwenyewe. Kama ni uongo basi muongo ni yeye MB Dog!
  7. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Mshabiki anatolewa kwenye mchezo ili iweje? Anacheza? Ni kocha? Nashindwaga kuelewa hizi hoja za kutolewa kwenye mchezo. Lakini nina mashaka huenda hizi tetesi za Kamwe kufungiwa hazina ukweli, ila zimetengenezwa ili kuwafanya TFF wasite kumfungia. Huenda amekutwa na hatia lakini bado...
  8. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu imeachia shule za binafsi msingi zifanye zitakavyo? Watoto wanasoma masaa 12 na hata zaidi

    Ipo shule ya msingi huku ninapoishi wanafunzi wa darasa la saba wanatoka saa tatu usiku. Wamiliki hizi shule za private wana upumbavu wa kushangaza mno.
  9. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Wapo wengi mno. JPM aliwasamehe 61 kati yao mwaka 2017. Ripoti ya tume ya Haki Jinai mwaka 2022 inasema kulikuwa na wafungwa zaidi ya 600 waliokuwa wanasubiri kunyongwa magerezani. Tume ya Haki jinai nao ni waongo? Yule mzee Matonya aliyehukumiwa kunyongwa miaka ya 1980 na Magufuli akamsamehe na...
  10. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Mwaka 2017 JPM aliwasamehe wafungwa 61 ambao walihukumiwa kunyongwa. Wengi wao walikuwa gerezani kwa miongo kadhaa. Walijitokeza na wakatoa simulizi zao kuhusu mauaji waloyotiwa nayo hatiani. Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wale walitengenezwa ili kutudanganya? Au walinyongwa halafu wakasamehewa?
  11. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

    Andiko zuri. Ni sahihi kwamba ni ngumu kuua na kuziba mianya ya kufuatiliwa. Ushahidi wa kisayansi kama DNA, alama za vidole, mawasiliano ya simu ni ngumu kukuacha salama. Lakini pia kila anayeua kwa kawaida huwa na hamasa (motive) fulani ambayo huchangia kumhusisha na mauaji. Lakini kuna...
  12. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali miaka 15 iliyopita. Tanzania kufariki ni dakika 0 tu!

    Asilimia 90 ya wabongo ni wapumbavu mno linapokuja swala la kushughulikia wanaotajwa kuwa wezi. Unakuta mtu ameitiwa mwizi, mtu haulizi anaokota jiwe anamrushia. Ni upumbavu wa hali ya juu. Kuna rafiki yangu mmoja aliuawa pamoja na mdogo wake kwa kuitiwa wezi baada ya kugombana na mtu ambaye...
  13. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

    Enzi za JK shule nyingi za kata zilianzishwa na zilihitaji walimu wa kutosha. Kadri miaka ilivyokwenda ziliendelea kupata walimu na sasa shule zote kuna walimu. Ingawa nakiri kwamba walimu hawatoshi huko mashuleni lakini hali sio kama ilivyokuwa wakati shule za kata zinaanzishwa. Hivyo kuna...
  14. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

    Jamii Forums kila mtu ana gari!
Back
Top Bottom