Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9...
Yuko sawa, kwa sababu Tanzania mawakili hawako huru, ndio maana Fatuma kafutwa uwakili, Jebra Kambole anasumbuliwa.
Hivyo kuwa na wakili wa kimataifa, kutamsaidia hata kwenye mahakama za kimataifa.
Ndio maana hata Simba na Yanga zina makocha wa kizungu ili watusue kimataifa.
Mwanza ni Jiji zuri sana na linakuwa kwa kasi...
Wanaosema kuna msongamano hawaijui Dar na Lagos... Sidhani kuna sehemu watu wamesongamana kama kwenye miji hiyo...
Wanaoilinganisha na Arusha wanakosea.... Tangu 2008 , Mwanza ndio jiji safi kwa majiji yote Tanzania.... Takwimu zipo
Kwa mapato...
Wakati unaendelea kutafuta kazi, kuna viwanja vinauzwa Goba kwa msumi... Ukipata Mteja bei sh 7m nicheck akinunua utajipatia sh 300,000 bila makato yoyote.... Viwanja ni surveyed, ukubwa kuanzia 400 sqm...
Maandamano yakilindwa vizuri na watu kutoa dukuduku zao itawafanya watu waone kumbe sio jambo la kushupalia kivile, tatizo ni makatazo na uoga kutoka kwa viongozi, kumbuka makatazo ndio yalipelekea Adam kula tunda.
Tumekuwa ni nchi ya vitisho na mabiti kila kukicha, tutajenga jamii mbovu in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.