Ukijifanya Mjuaji watu watakuangalia tu mpaka pale utakapo angukia pua, watafika na kukuinua.
Haiyumkini katika Uongozi huwezi wadharau wenzako waliokutangulia kiasi ukajiona wewe ndiye unaefahamu kila kitu Nchi huwa haiongozwi namna hiyo.
Miaka yote iliyopita IMF ilikuwa inachapisha Taarifa...
Mwanafalsafa Socrates aliwahi kutembea mchana wa jua kali akiwa amebeba Taa iliyokuwa inawaka na kutoa mwanga, alipoulizwa na baadhi ya watu waliomuona akiwa anatembea na hiyo Taa haya ndiyo yalikuwa majibu yake "Pamoja na mwanga huu wa jua tulionao bado kuna Watu wako gizani hivyo nawamulikia...
Usipofahamu kitu ni bora kukaa kimya utaonekana busara yako kuliko kujibu na kuzidi kuboronga.
Mara nyingi na hii inatokea watu kuchanganya Vyeo vya Kijeshi na Kipolisi bila kujua, kwenye vyeo vya Polisi huwa kuna vyeo na Madaraka kwa mfano maRPC wengi waliopo ni SACP (Senior Assistant...
Mkuu suala la Kodi ni lazima si hiari tena kwa maendeleo ya Taifa letu, haiyumkini Wafanyabiashara weni hawana elimu ya Biashara na Kodi na mara nyingi umetokea mkanganyiko hasa kwenye VAT.
Kwa tafsiri VAT ni "Value Added Tax" Kodi ya Ongezeko la thamani na hii huwa analipa mtumiaji wa mwisho...
Uzuri wao uko wapi ni kwenye sura ama maumbile? Maana zile sehemu husika huwa Bibi anachukua chake mapema na kuacha shimo la kutunzia Panya!! Wangeacha hiyo mila mambo yangekuwa mazuri ila kasoro inaanzia hapo.
Kwa hiyo mie sioni kuwa ni wazuri maana wenzao wa Rwanda wanafuga vinakuwa virefu...
Hivi Panyaroad waliokuwa wanakimbiwa si walikuwa Dar ama Mikoani? Msijidanganye Wanaume wa Dar mnashida sana Waganga wa Kienyeji wanaotangaza kuuza Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume wako wengi sana wamegundua tatizo lipo sana huko kwenu!
Nakuhurumia Mtu wa Lindi hivi mikoa ya jirani hakuna Mwanamke aliyetokea ukampenda?
Wanyaturu ni wanawake wazuri kwa maumbile na sura nzuri ila tabia zao wengi si nzuri nahisi ni kwa sababu yale maumbile wanayaondoa nahisi hawafikii mshindo huwa wanakawaida ya kutokutosheka na Mwanaume mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.