Msaada wangu kwa mke wa mtu miaka 2 iliyopita unahatarisha ndoa yangu

Hata hivi shukuru Mungu, jamaa amekupa taarifa!
Mwengine angekuja na panga kukata kichwa chako.
 
Yani chai za kutoshaa...
Huyu jamaa nimeshindwa kabisa kumuelewa. Mara ni ME mara ni KE ali mradi haeleweki hata chembe na sijui sababu ya yeye kujiweka kwenye jinsia zote mbili ni ipi hasa.
 
Komaaa mkubwa sura watu hufanana tu, mwache aje azungumze upuuzi wake ni upepo tu utapita
 
hahahah mng'ato kwenye hii thread amekuwa MWANAMME. kuna hii thread nyingine ambayo amekuwa MWANAMKE hataki mumewe aguse matiti yake.hahahahah
 
Wewe ni hatare ndugu
20190123_171133.jpeg
Screenshot_20190123-171016.jpeg
 
Ndoa yamshikaji inaweza isisambaratike maana alifanya hilo tendon kabla ya kuoa... Mke wake anaweza akamuelewa
Pole kiongozi! Mara zote huwa namuomba Mungu aniepushe na hii kitu inaitwa majuto ni mjukuu. Nipo radhi nionekane mjinga lkn niepukane na majuto ni mjukuu! Ona sasa ndoa mbili zitasambaratika. Muombe sana Mungu kiongozi kwa jinsi furaha waliuokuwa nayo wanandoa hao! Chunga sana uhai wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom