Recent content by Beman

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Gari Nissan Dualis/ Qashqai kuchelewa kuchanganya

    kuchelewa kuchanganya kuna sababishwa na vitu vingi. Japo mimi nilikutana nayo hyo changamoto,kupanda vilima vya Goba unakua kama unaibembeleza gari,nikahangaika sana baadaye kuna fundi yupo kinondoni akaniambia ishu ni Catalytic convertor imejaa uchafu mwingi sana. Waliisafisha,baada ya hapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    una uwakika?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    wewe unaona hili ni wazo jipya kabisa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    Hapo ulipo,kama unasoma ujumbe huu...soma kwa sauti,[emoji860]Mbona naambiwa sina akili[emoji3480]..rudia mara mbili kisha lala,utakua umeongeza kitu fulani siku ya leo[emoji196]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    hata mimi nimemkula[emoji16]
  7. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    una kifua nikuambie ukweli?[emoji16]
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    miburushi ni vichwa ngumu.Haijali sheria za nchi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    [emoji16]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    Una undugu na kina mwakabanga nini?mbona unakubali dhuluma za waziwazi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana...na hata hivyo sio kosa lako!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    ushahidi upi unaotaka wewe?wizara ifanye uchunguzi tuu itakutana na hayo madudu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

    MADUDU YA USANGU LOGISTICS-WIZARA YA KAZI MPO WAPI Utangulizi: Ndg zangu,hii kampuni ni ya usafirishaji na makao ya ofisi ipo Tabata Matumbi.Wamiliki wa kampuni hii ni waburushi (Mwakabanga) ambao walianza wa tatu, kama madereva wakiwa wanaenda masafa marefu hadi kufikisha magari zaidi ya mia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu kila fundi nikimwelezea behavior za hii gari anakimbilia kwenye kufanya complete overhaul. Okay, mkuu naomba kujua symptoms za cylinder head gasket ambayo ina leak au imecrack kabisa. Maana hii yangu kwa macho na old xcul tricks kuangalia kama inarusha maji sioni..
  15. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Habari wadau Nina Rav 4 kilitime yangu 1zz engine nimenotice manually kwa kuangalia kwenye oil dipstick kuwa oil inapungua plus, ukipiga race(acceleration) moshi mweupe unatoka kwenye tailpipe. Hapa nafikiria kufanya overhaul japo sasa kila nikifanya research na nimpe fundi gani aifanye hiyo...
Back
Top Bottom