Recent content by Bellas7

  1. B

    Sherehe ya kuwapongeza waokoaji wa zahama ya kuanguka ghorofa yafanyika...

    Leo kwenye taarifa ya habari nimesikia Mkuu wa nchi amewaandalia hafla na kuwazawadia waliokuwa msitari wa mbele kuokoa kwenye jengo lililoanguka Dar. Binafsi nakubaliana sana na mwandishi wa gazeti la Raia Mwema last week alipoonda sana washauri wa raisi kwa kumshauri aandae sherehe hiyo. nina...
  2. B

    KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    Kiukweli hilo la kufungia radio stations limedhihirisha kwa mara nyingine kwamba serikali haina base ya maamuzi yake. Imeamua kubalancisha tu mambo. Radio imani ilifanya inayotuhumiwa toka mwaka jana. more than 4 months ndio inachukuliwa hatua, wakati Radio neema ni within a month tu rungu...
  3. B

    Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Great Thinkers naileta hii thread kwenu kama mtizamo wangu. Jana nilisikia clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast wakimponda sana na kutoa kauli za dharau kwa Mama Ndalichako wa Baraza la mitihani kwa kuonyesha jinsi watoto wengi zaidi walivyoandika madudu na wengine kuchora kina Messi...
  4. B

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Du kama hii imeandikwa African Brain, sasa mbona hii kilazaimeenda kwa wenye akili ikazungumza upuuzi ule. mtaniwia radhi, naleta ukanda (roho inaniuma sana kwamba hii jamaa inatoka Mbeya). sasa Kikwete hapo aliona potential gani hapo mpaka kumteua huyo?
  5. B

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Nimechukua muda mwingi sana kusoma huu uzi na kupitia comments zote, nimegundua kwamba wengi wanakerwa na mambo maovu yanayotokea. lakini hoja ya msingi sio uislamu umefanya kosa au la. hapa hoja ni JE NI SAHIHI KULIPIZA KISASI KWA WASIOHUSIKA KWA KOSA ALILOFANYA MTU MWINGINE?? Si dhani na hamna...
  6. B

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Nimefikia hatua ya kujiuliza hivi ndugu zetu waislamu hawataki wakristo waabudu, au waishi hapa Tanzania? walianzia kuchoma mabucha ya nguruwe kipindi cha Mwinyi, Zanzibar wamechoma makanisa kwa kigezo cha kukataa Muungano, wamechoma clubs zanzibar za wabara ambao ni wakristo, wamefanya vurugu...
  7. B

    Rushwa anayoiona Sumaye: Takukuru mpo wapi?

    Great thinkers, nimeshawishika kuandika maono yangu ili kupata mawazo yenu wadau. RUSHWA adui wa haki, ni maneno ya Mwalimu na kila mwenye utashi. siku za karibuni viongozi wengi hasa wa CCM waliopo na walioondoka madarakani wanalalamikia rushwa ilivyokithiri ndani ya CCM, Kikwete, Nape...
  8. B

    Baada ya kutoswa, Sumaye sasa ateta na viongozi wa CHADEMA

    I like it, watu wamekaa nyumbani mnajifariji kwa kuandika tu kwenye JF. wachukua maamuzi wana vigezo vyao na kama watamtaka ataingia tu CDM. Mbona kwa Millya mliongea sana na akaingia. Great thinkers vipi? cha maana ni kushauri tu kama anaingia asiingie kutaka uongozi. taratibu zitafuatwa na...
  9. B

    Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

    Talent yao si ni biashara jamani
  10. B

    Sitta alikoroga; Kauli zake zadaiwa kuichimbia 'kaburi' CCM, Nalaila Kiula aibuka...

    Nimegundua kwamba CCM hawataki kuelezwa ukweli. Sitta sio mjinga kuacha vikao anajua wamejaa hao hao tu and will not make any difference. ni bora akaseme hata na watoto wadogo labda watakuwa na akili ya kutafakari kuliko hao wa kwenye vikao halali.
  11. B

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Wabunge wengine hasa vijana wamekuwa wanajitahidi sana kuweka feedback zao kwa wanayoyafanya majimboni mwa. Big up kwa John Mnyika na January Makamba. sasa huyu ndugu yetu Halima Mdee mbona hatuoni uwajibikaji wake. au miaka mitano itamtosha.
Back
Top Bottom