Recent content by Belindahadventure

  1. Belindahadventure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya after president Uhuru

    There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months the current president has been in office there has not been heard a single case of corruption...
  2. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Naunga mkono mahusiano siku yana dumu mwaka moja na yanakwisha. yapsua vijana wafundishiwe this ya kuwa romantic ata kama ni safari ama holiday ya mahusiana.
  3. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Kaka yangu naye katembelea sehemu ya mbuga ya masai mara. kaamu kubugia kila aina nyama hakujua alikula nini laikina daa. Tumbo lilinguruma safari mzima
  4. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania WHO is planning to keep the pandemic going for 10 years, pushing new diseases if necessary

    We do hope a quicker solution will be found and not ping pong stories, The lake nakuru and Kenya at large holiday makers are in jeopardy. Ans this need to be fixed very fast before evrything goes from bad to worse.
  5. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

    Mvutano wa Ukrain na Urusi umeadhiri sana uchumi wa east Africa, suluhu ya haraka inahitajika katika vita hivi laa si hivo njaa itatumaliza,
  6. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania Russian oil revenue up 50% despite sanctions, IEA says

    Nafikiri hawa watu wa magharibi in wapasa kutafuta suluhisho maluum kwa mzozo wa Russia. Bei ya bidhaa Kenya Tanzania imepanda kupindukia na wanacji wanataabika sana.
  7. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Kuna wakati nilikuwa nimmenda Safari katika mbuga ya masai mara na nilikuwa nasikia tuu kuna hotel inayopika game meat, nikaenda kubugia sikujua nilkula nini bali tumbo nguruma acha tu.
  8. Belindahadventure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto kugombea urais wa Kenya kwa tiketi ya UDA

    Bila shaka Ruto ni kiongozi bora, na tuna tumai ataibuka mshindi kwenye Uchaguzi huu. Kizungu mkuti ni jinsi ya kuchagua mgombea mwenza. Nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wake Amboseli akiuza sera zake na nilipendezwa naye
  9. Belindahadventure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baringo - Silali Geothermal Project

    The water level in Lake baringo has been going down. This must also be a point of concern despite the great projects being done in the area.
  10. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania MAJADILIANO: Fursa za kibiashara

    unaeza jaribu pia cleaning business haitaji hela mingi lakini inahitaji ujuzi wa hali ya juu.
  11. Belindahadventure

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asante kwa ufafanuzi huu, ingawa changa moto kwa biashara si haba. Nilianza biashara yangu ya cleaning. Na imekuwa si rahisi
  12. Belindahadventure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKIA, Moi (Mombasa) best Airports in Africa

Back
Top Bottom