Recent content by BELAIR

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wahaya; Kwa huu utamaduni wenu, mnatuchanganya wageni tunaokuja kwenu!

    Tangu 2010 ndio unaleta mada leo! Umekosa ya kuandika? Wakisema unachuki binafsi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Smartphones Power Bank for only tshs 35,000/=

    Nadhani umeshaona soko ni kubwa hivyo uje na mzigo wa uwakika ili tusije kukosa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Smartphones Power Bank for only tshs 35,000/=

    Unategemea kurudi dar lini?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

    Jipange na ww
  5. B

    JamiiForums Tanzania Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

    Jiulize pia raisi wa uganda amekuja mara ngapi kipindi hichi cha miaka nane?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    Sidhani kama eneo hili ni la kulaumiana, wenzetu wamewrka wazi kuwa wanataka mabadiliko, wametambua njia wanayoenda si sahihi, basi kwakuwa wameshajitambua ni rahisi sana kumuelekeza mtu huyu na akabadilika maana mabadiliko yameanzia kwake binafsi. Ni vema kuwaonyesha njia mliyofanya mpaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Ni HTC, bahati mbaya nipo safari na nimeiacha home, hopefully mwisho wa mwezi nitakujulisha
  8. B

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Unaweza kubadili windows phone kuwa android?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Atlanta: Mtanzania Azama Mtoni na Kupotea. Juhudi za Kumtafuta Zinaendelea

    Inasikitisha sana, waliosoma Mlimani Primary school na kumaliza 1994 watakuwa wanamkumbuka, tuliishi pamoja chuo kikuu, na baba yake alikuwa lecturer.
Back
Top Bottom