Recent content by Bekka

  1. B

    Mke bora aliyetoka kwa bwana

    Mara ya tatu atakukata koromeo ukiwa usingizini ndio utajua anatoka kwa bwana
  2. B

    Daraja laporomoka waheshimiwa wakikata utepe kulifungua

    naamini ule msemo wa Tanzania ni channel ya vichekesho huko
  3. B

    Ungefanyaje kama ungekutana na hali kama hii?

    Hapo sasa nitahisi wife kanitegea hasahasa kama tulikua na kaugomvi, kwaiyo itambidi yeye ndo ajieleze
  4. B

    Tanzania haimo kwenye Main List ya walioalikwa Kenya Uapisho wa Ruto

    Nchi yao tunalalamika wengine hatujaitwa, Tz iende isiende sidhani kama kitaharibika kitu
Back
Top Bottom