Recent content by Bekabundime

  1. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

    Mpenda nchi ganij wewe Muongo,wanaosombeleaga watu ni Chadema au Ccm,yaani unaongea uongo usio na maana hapa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul anastahili kuvuliwa uanachama na kufikishwa mahakamani haraka sana. Amekichafua na kukipaka matope chama

    Kweli kabisa ccm hawana maana wanaweza wakamtetea wallah
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Bwege kweli wewe hivi unadhani ubaya huwa unadumu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapendwa sana Mitaani na mamilioni ya Watanzania

    Mhhh Acha uongo wewe kwa lipi,umeme kukatika,maisha kuwa magumu au lipi,unajituma alafu umeme unakurudisha nyuma
  5. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Upuuzi mtupu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Upuuzi mtupu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

    Yeye ndio mbwa tena Jibwa koko lisilo na sehemu wala makazi maalumu,heshima aliekuwa nayo sasa hivi hata awekwe wapii haipo tena anatapatapa tuu,unadhani chama ganii kitakacho mpokea alafuu haaminike tena.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nasikia kelele masikioni na kichwani

    Duuu jamani hili tatizo pia linanisumbua sana sikio langu la kushoto,linapiga kelele nimekwenda hadi Ekenywa Hospital kwa Dr,Bingwa akanitoa nta lkn bado linasumbua,sasa karibia miezi 6 naomba mwenye kujua dawa jamani tusaidiane
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Hahahahaha akili kubwa,mkuu huyu mzee kwa ufupi ametelekezwa na walio mfadhili ubalozi sasa anatapatapa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Usiongee kishabiki Putin hajashindwa vita ila alishaonya ya kuwa atakae isaidia Ukraine atajuta sasa huyu mtu atishii anamaanisha huyu wanachokosea ulaya ni kutangaza kuwa tumetoa silaha mara wanajeshi sasa Putin anakwenda kufanya unyama mkubwa mno.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Mipumbavu iliyokosa akili ndio inandikaga upuuzi kama huu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

    Wewe sio mzima hivi unajua Chadema wametoa shilingi ngapi au unaandika tuu hapa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Hana lolote mkuu kama si wakubeza ajitokeze akaoneshe umwamba wake mahakamani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Duuu kweli hapo mkuu wa nchi amechemka yaani unashindwaje kumsikiliza aliekuweka hapo,na pia kama ilikuwa ni kwa sababu anatoa hotuba ni kwanini asimwambie subiri nimalize takuita.
Back
Top Bottom