Recent content by Beka-one

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto mmoja

    Mmmmmm!Acha kututia aibu sisi wanaume wenzako ama kweli duniani kuna vijimambo vya walimwengu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wote kupangiwa vijijini

    Hata kama ni shimoni pouwah tu ili mradi noti iingie mfukoni,ila hyo sera tu mjini lazima watu watinge tu umesahau hii serikali ya tz!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

    Hapo ndo tulikuwa tunataka umeamu kuwatoa watu kiroho juu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    Acha uongo kijana una warusha roho watu wewe!Serikali haijaxema lolote kuhusu ajira,bali gazeti hilo limeandikwa mada hiyo tajwa kama mfumo wa swali uwe mwelewa kijana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    Nafili hata vyombo vya haari vimeona uchungu wa raia hakika imefika wakati serikali isikie kirio chetu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maoni yako katika utata huu

    Kabixa huo ni ushamba na wandewazimu usio na kichwa cha mbele wale nyuma unakuwa msaliti wa lugha yako ya taifa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio

    Acha upuzi kama huo wa kuwa unatumia njiti kwenye masikio kwani huchangia kuongeza ugumu ndani ya sikio!Hivyo mapema sana wahi hospital haraka xana kabla tatizo halijawa kubwa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Man City:kutoka Nafas Ya 2 Hadi 4,baada Ya Kipigo Cha Jana Ucku

    Safi xanaaaa kwa wale wa the gunners fulaha tele
  9. B

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

    Ukweli ndo huo ulioxemwa tatizo cc waafrika wabishi xana acheni upishi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania msaada jf

    Hyo itategemea kama kwel alipokuwa anautumia mswaki aliweza kupata mchubuko ndani ya kinywa chake,hyo ndo mawazo yang wengine wanisaidie nawasilisha
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ana umri wa miaka 30 na shughuli yake yeye ni mfanya biashara
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ndugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda sana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    WeWe tulia umri wako umekutupa mkono
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    0753414388
  15. B

    JamiiForums Tanzania msaada wa mawazo

    Acha ujinga na upumbavu wewe kwani mbona ulikubali kufanya naye tendo la ndo bila ya kumpenda toka moyoni mwako?Acha utoto mke ni mke kwani rangi nini?Hasa ktk maisha ya maisha ya ndoa?Komaa naye huyo ndo wife wako acha ujinga
Back
Top Bottom