Recent content by BEHOLD

  1. B

    JamiiForums Tanzania Show me your friends, I will show you your character!-Chivayo connection!

    Umesema ni mfanyabiashara mkubwa, yet you are asking what was he doing pale Ikulu. Vipi kama alihitaji kuwekeza? Aliko Dangote was also there recently, why didn't you ask.
  2. B

    JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Lazima aondoke na zombies kadhaa wasiotaka kuheshimu taratibu siku hii.!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katambi: Kama kuna dereva amekatwa point atakuwa ameonewa na amlete aliofanya hivyo hatua zichukuliwe

    Ila HAPA hazijaanza kutumika!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Aibu niliyoiona kwa askari usalama barabarani leo

    Weka ushahidi hapa
  5. B

    JamiiForums Tanzania DC Msando aagiza Mabasi yote yaondolewe stendi ya Magufuli, na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria

    Kwa hiyo tuseme madereva hawataki utii wa Sheria hizi? Embu tuwe serious aisee!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbona kwenye kesi ya Lissu leo sikumsikia Katuga akisema "if found guilty" ila nimemsikia akitaja adhabu zinazoweza kutolewa

    Tatizo watu ashk majnun wanamwekea maneno. Wadhani Katuga ndio anaeamua kesi!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Mgomo huu umechochewa na wenye Makampuni ya Mabasi hakika. Kwanini wapokee pesa za abiria huku wakijua madereva wao wako kwenye mgomo? Na baadae wasitoe mbadala wa safari? Hata kurudisha Tu nauli za watu hawatki. Huu ni uhujumu, na mpango ulioandaliwa kimkakati. Huwezi kusema kuna mgomo wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shtaka ni uhaini, halafu inapendekezwa "adhabu" sawa na traffic offence. Katunga amelikoroga

    Katuga SIO Mahakama. Wacha Mahakama ifanye kazi yake. Mahakama ndio mamlaka ya kutafsiri na kuapply Sheria.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    NI mpumbavu Tu na mwenye ashk majnun anaweza kusema eti hakuna kitu Katuga kaongea. Any way tuache wafu wazikane na wafu wao Ila mwishoni Jaji Ndunguru kusema maneno Sahihi sana, Kasema Hivi: "Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa WANATUCHOCHEA...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DC Msando aagiza Mabasi yote yaondolewe stendi ya Magufuli, na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria

    Points zinakatwa Kwa : Over speeding Wrong overtaking Alcoholism while driving Failure to observe Traffic lights Driving without valid licence Driving defective vehicle Kishusha au kupakia abiria kusikoruhusiwa Nakadhalika Nakadhalika
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Huijui Sheria Wewe, wait for a big suprise
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    Despite the liberal outlook that the accused has so heavily urged this court to consider, the law must nevertheless be given its full force and effect. We feel that our hands are tied. We therefore sentence the accused to suffer death by hanging, to be executed in accordance with the law. IT...
Back
Top Bottom