Mimi nasikitika tu pale TIGO walipokuwa wanatuhamasisha na TIGO AFYA Bima na pindi tulipojisajili ndipo Longo Longo zikaanza na fedha zetu walitukata na hadi leo hii hakuna kinachoeleweka - Usanii mtupu
Heko Dkt. Mengi.
Mimi naungana na pongezi zako kwa Mh. Rais ikiwa ni tathimini yako ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani....
Watu waliopata Mali kwa kuvuja jasho, kwa kusimamia Matamanio yao na kutumia fursa zilizokuwa zimewekwa na Serikali zilizopita na hii iliyopo, hali na mwenendo wa nchi...
Mifumo yenu iimarishe kwanza na ndipo mfanye hili mnalotaka kufanya.
Mimi naamini mfumo utakapoimarishwa mtu atafuata tu Kanuni zenu na ndipo ataamu kufuata kanuni au mfumo au kama hawezi atoke....:: full stop siyo hii ya kubembelezana.... Na Siasa zinachanganywa humohumo - KWA sababu baba Yao...
Mimi binafsi nawashangaa sana hao viongozi wa Mamlaka ya Bandari kwa uamuzi huo wa kuwafuata wafanyabiashara hao . Kama ni kweli basi wataalam wetu mnashida KUBWA sana: kwa nini nasema hivi....
1. Katika sakata hili kwanza kuna dhana ya kukosa uzalendo na nchi yako.... Wafanya biashara hawa kwa...
Wewe hata baba yako hapo nyumbani mambo yote aliyokuahidi au kuyapanga aliyatekeleza at Once.... Acheni mambo yenu tujadiliane kwa fact na kwenye ukweli pazungumzwe Ukweli.... Hivi jamani hamuoni mambo yanayofanyika au ndo mmejipanga kubishia kila jambo jema linalofanywa? Shame On You Guys -...
Kulia na kucheka yote ni kelele tu .....
Hata hayo uliyoandika na kujinasibu sana kuwa nilisema.... Zote ni kelele tu..... Hizo ni hira zenu za kutaka kumzoofisha Rais wetu mpendwa....
MShindwe na Mlegee na tena kwaJina la YESU .......
Haitakuwa na hatakoma kuacha kuisimamia Katiba.... Mtaenda...
Kwa upande wangu hili silishangai sana, kwani ndo huruka ya Mtu Mweusi ya kutoheshimia, kutothaminiana, kupondana hata kama unafanya jambo jema sisi watu weusi hatuna utamaduni huo.
Hali hii ilipandikizwa ndani ya vizazi vyetu tangu Enzi ya Wakoloni.
Tazama Enzi za kupigania Utu wa Mtu Mweusi...
Asante sana ndugu yangu kwa kusema Ukweli, hawa jamaa sasa it's too much wao kila jambo jema ni kupinga tu ..... Bahati nzuri Wa TZ wameshawashitukia kuwa ni Mawakala wa Wapinzani wa Maendeleo ya Taifa hili ikiwo wamiliki wakubwa wa migodi na baadhi ya nchi Jirani ili warndelee kudhoofisha...
Acha unazi wa Siasa zenu za maji Taka hizo, kosa la Mh Rais Liko wapi? Kwani wote aliowateua ni wasafi sana ? Ndo maana nikaanza na acha siasa zako za maji taka.
Rais kuteua mtu kama Kitwanga si dhambi, ila yule aliyeteuliwa asipojitambua na kutambua wajibu wake hapo ndo shida ilipo.
Watanzania...
Wewe ndo inabidi uone aibu, kwani hao walio MBELE kama mnavyoita au MJUU wameona hakuna mantiki ya kuendelea kurumbana katika hili la Bunge Kuonyeshwa Live au Lisionyeshwe LIVe na muongo wao upo kwenye angle ya endapo Britain nchi kubwa na tajiri kama hiyo haionyeshe Bunge LIVE sembuse sisi Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.