Upo msemo wa wahenga unasema mti wenye matunda mazuri hauwachwi kupigwa mawe, wengine wakasema usione vinaelea vimeundwa.
Bila shaka siku za karibuni Mh Magufuli amekuwa akiwashangaza watu kwa utendaji wake na uwelewa mkubwa wa Taifa letu.
Hata hivyo pamekuwa namaneno mengi yakebei na vitisho ktk utawala wake wachache wakimuombea maduwa mabaya alimradi kumdhoofisha ktk utendaji wake na ikiwezekana kufanya nia yake njema kwa taifa inakatikia njiani.
Lakini ukweli ni kwamba Mh Rais amekuwa na moyo wa imani kwanza kwa Mungu wake na watanzania walio mpa nchi. Pia nilazima watanzania tukumbuke tulipo toka na hapa tulipo na kule twaelekea.
Mh Rais amekuwa mkali kwa watu mafisadi ndani na nje ya serikali na huu ndio msimamo.
Lakini nilazima tujiulize ni kwa faida ya nani? Na nikwanini imekuwa sasa na isiwe jana au kipindi kile?
Mtu anaye weza jibu maswali hayo hawezi kamwe ukebei nakufikiri eti Mh Rais ni nguvu ya Soda.
Lahasha nilazima tukumbuke hili ni taifa tena taifa uru lenye mamlaka zake kamili.
Mh Rais kama mkuu wa Jamuhuri ya Tanzania anafanya kazi iliopo mbele yake na hafanyi kwa kupenda ila katiba inamuongoza hivyo.
Watu wachache ambao wanaitafuna nchi wanataka eti wao ndio waipangie serikali na idara zake zote jambo ambalo haliwezekani.
Hata Taifa kubwa kama Usa huwezi nunua idara za serikali kwa vijisent vyako.
Nilazima watu wajuwe kazi anayo ifanya Rais sasa ilisha kupangwa na nilazima imalizike na hakuna kitu kitaishia katikati ya njia.
Kiufupi idara ya Rais ya ufundi na mambo mengine imejizatiti kuhakikisha mambo yanakuwa shwari.
Nikwel pesa imekuwa ngumu lakini ugumu wake nikumtaka kila mtanzania ana amka asubuh na kwenda tafuta riziki kialali anapata.
Na sio ilivyo kua pale nyuma watu wanaishi kiujanja ujanja nakufanya taifa kuwa ktk kiza kizito cha ufisadi.
Mara zote napenda kusema mpaka 2020 mambo yatakuwa yamebadilika sana, na upo ushaidi Mh Rais atashinda kwa kishindo na dunia itajuwa.
Nichukue nafasi hii kuvipongeza vikosi vyote vya majeshi ya ulinzi na usalama, kwakuweka amani ya nchi kuwa shwari pamoja nawajinga wajinga wachache kuleta vitisho na mauwaji mmekuwa imara kuwakamata nakuwatia nguvuni.
Pia kamati zote za ulinzi na usalama kuanzia kwenye kata mpaka taifa nawapa hongera sana.
Bila kusahau kikosi maalumu cha kumlinda Rais wetu nawapongeza sana. Watanzania wote mlio na mapenz mema na taifa letu pia big up.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake. Amen