Recent content by BEESWAX

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    First year wa Udom mnapaswa kufurahi kuchaguliwa chuo na hongera ila mkasome sana watu wanadisco sana bora hata SUA kwetu shule ni ngumu ila tunaajikongoja
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Muuh naaona Wema amekoswa kazi za kufanya asubiri kitakachomumpata
  3. B

    JamiiForums Tanzania ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

    Mutoa mada hii umechanganyikiwa si kidogo unataka waoneshe habari kama TBC wanavyoibeba ccm, waambie ccm mwaka wakalime waone uchungu wa ukulima na Graduates wa watoto maskini wanao lia mitaani bila ajira.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Lowassa kuhamia Chadema ukawa wamezingatia vigezo vyote maana mgombea was ukawa kukabiliana na Dr. Magufuli ingekuwa ngumu kwa ukawa na hii inaonesha viongozi wa ukawa hawana uroho wa Madaraka ila wanania ya kubadilisha system nzima ya utawala!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mahanga Kumfuata Lowassa

    Hameni ccm wote Team lowassa ccm ipate adabu mwaka huuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vikao vinaendelea ikulu muda huu

    Chadema hawawezi kukurupuka kiasi hicho wakioyafanya ni sahihi ccm walimwaga mboga wenyewe sasa ngoja Lowassa amwage ugali na kutoboa masufuria ya kupikia ccm
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

    Mfamaji hakosi kutapatapa
Back
Top Bottom