Recent content by bedui wa jangwani

  1. bedui wa jangwani

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Verygood nadhani itasaidia na itawatoa baadhi matongotongo
  2. bedui wa jangwani

    GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    Nape aungwe mkono na kila mtanzania mzalendo, sisi vijana wa ccm arusha tunakuunga mkono pamoja na kwamba inaonekana arusha ni kambi ya fisadi fulani but nakuhakikishia walio wengi ni viongozi na ni coz wanalipwa,.
  3. bedui wa jangwani

    Kuna mtu anaweza kupotezwa ili chama kisiyumbe

    Siasa ukiingia kichwakichwa utarejea huku unapenga kamasi na kilio, na ukiwa umepata hasara kubwa kama
  4. bedui wa jangwani

    Jaji mstaafu kuchukua fomu leo nimepata utulivu pamoja na watanzania kwa ujumla

    Namshukuru Mungu aliyempa fikra Bwana Augustino Ramadhani kuchukua fomu ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi, napenda kuiomba CC ya CCM kama njia ya ushawishi wangu na kwa niaba ya watanzania walio wengi kwamba jina la jaji...
  5. bedui wa jangwani

    Lowasa aliteleza kwenye hotuba yake ya kutangaza nia Arusha

    Mheshimiwa alisema kwamba alikua na makubaliano na mwenzake yaani Dk Jakaya Kikwete kwamba yeyote kati yao atakaye pitishwa kwenye nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM basi atakapomaliza miongo miwili basi atamkabidhi mwenzake, kwa hiyo kwa sasa yeye ndiye anayestahili kupokea kijiti hicho na kwa...
  6. bedui wa jangwani

    Jaji mstaafu Augustino Ramadhani chukua fomu

    Ni wewe tu peke yako tunayekuona kwamba unaweza kutuvusha hapa tulipo, wengine ni wasanii tu.
  7. bedui wa jangwani

    Urais 2015: Jina la Augustino Ramadhan lajitokeza

    Augostino ramadhani pamwe naye Salim Ahmed Salim hawa bilashaka kabisa wana weza kusimama ulingoni kisiasa wakamudu mnyukano na wapinzani na sii hivyo tu bali CV zao hazina vumbi kabisa kikazi na hata baada ya kustaafu .
  8. bedui wa jangwani

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Kweli hoja hazijibiki because ni nzito, iliyobaki ni kumshambulia mtoa hoja.
  9. bedui wa jangwani

    Hamis Kigwangala kuhamia CHADEMA

    Kigwangala ni ccm damu haendi kokote, nami namuunga mkono abaki hapohapo mpaka,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,--------''''"""",,,,,,.
  10. bedui wa jangwani

    Mizengo Pinda anafaa kuwa rais wa nchi hii

    Mizengo pinda watose jamaa ili usalimike nikujuavyo wewe ni mzalendo but umeingizwa pabaya
  11. bedui wa jangwani

    Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    Maandamano kwa nchi huru kama hii bila sababu za msingi ni sawa na uhaini
  12. bedui wa jangwani

    CHADEMA isitishe maandamano

    Kwanini chadema wanacheza na amani, Kwanini hawasubiri ulingoni mwakani?wameingiwa na mashaka gani kuhusu uchaguzi wa mwakani, na ni Kwanini serikali inasuasua kuchukua hatua kali dhidi ya viongozi hawa,lawama kubwa itaiendea serikali kama itawaacha wafanye watakavyo.
  13. bedui wa jangwani

    Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

    Kuna maghembe wa wilaya ya mwanga kilimanjaro kachokwa, japo hawajaichoka ccm.
  14. bedui wa jangwani

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Ccm ina watu wengi sana wenye uwezo wa urais,but kila tunapowapima ili kumpata mmbora wao pinda anaibuka kidedea,hatumpendi panda kama pinda coz sio ndugu yetu wala rafiki lakini tunachokipenda ni uwezo wake wa uongozi basi sii vinginevyo.
  15. bedui wa jangwani

    Waraka wa tamko la Baraza la Kikristo umesomwa leo Makanisani, CCM chali

    Serikali inapaswa kuteta na viongozi wa dini ili kudhibiti hali ya viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa, unless otherwise tutaharibikiwa sote.
Back
Top Bottom