Mizengo Pinda anafaa kuwa rais wa nchi hii

Mizengo Pinda anafaa kuwa rais wa nchi hii

Ameingzwa au ndo ukweli?? Unamaanisha awatose jamaa gan??? Ajitoeje kwny dhahama hili?
 
Haya mambo ya urais subirini mda ufike tutawajadili vizuri.
 
We Bedui Jangwani naona azikutoshi kabisa. Uwezi sema pinda anafaa kwa vigezo vipi au elim ipi kuiongoza tanzania na wizi wake feki. We ---- nini.
 
acheni kumtukana pinda mtoto wa mkulima tena mzalendo na mkalimu,na anauchungu na nchi yake.
 
  • :sad:
:sad::tonguez::cheer2::glasses-nerdy::confused2:😛anda::glasses-nerdy::smow::A S 100::msela::teeth::mimba:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom