Recent content by BEDECCA

  1. BEDECCA

    Taarifa ya ziara ya kutembelea na kutoa semina kwa wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi kata ya Kandete.

    BEDECCA- IN TANZANIA. Busokelo Education Development for Child and Counseling Association in Tanzania. Katika semina hii iliyofanyika kuanzia tarehe 22/08/2017 hadi tarehe 24/08/2017 tumeweza kuelimisha na kuhamasisha wanafunzi wa shule za msingi zote katika kata ya Kandete ambazo ni...
  2. BEDECCA

    Wanafunzi wanne wa shule ya sekondari Mwakaleli watoroka

    Mnamo tarehe 20/01/2017, siku ya ijumaa kuna wanafunzi wa nne(4) wa shule ya sekondari Mwakaleli walitoroka kwenda sehemu isiyojulikana.Sababu zilizopelekea ni pamoja na kufeli mtihani wa upimaji wa kidato cha pili wakati wengine wakijihusisha na masuala ya mapenzi na kukutwa katika vyumba vya...
  3. BEDECCA

    Elimu, Elimu, Elimu kwanza mengine yafuate

    Ndg wapendwa, Uongozi wa BEDECCA umepanga mkutano wa kuelimisha jamii umuhimu wa Elimu, athari za utoro mashuleni kwa watoto, pia na athari za mimba katika umri mdogo. Mkutano huo utafanyika katika mkoa wa Mbeya, halmashauri ya wilaya ya Busokelo, kata ya Kandete katika kijiji cha Mwela...
  4. BEDECCA

    Wanafunzi 10 tu ndiyo wanasoma Kitongoji cha kisiba.

    Hapa mkoani Mbeya katika halmashauri ya Busokelo katika kata ya Kandete, Kijiji cha Mwela kitongoji cha Kisiba. Asanteni wadau.
  5. BEDECCA

    Wanafunzi 10 tu ndiyo wanasoma Kitongoji cha kisiba.

    Kiji cha Mwela, kitongoji cha Kisiba kina wanafunzi kumi (10) tu wanaosoma katika shule za sekondari, uongozi wa BEDECCA umefanya utafiti na kujua sababu inayopelekea kitongoji hicho kuwa na wanafunzi wachache ni suala la UTORO, wengi wao huwa wanaachia njiani. Suala hilo limekithiri sana...
  6. BEDECCA

    Educate the children for a bright tomorrow

    Idea ya kupata Elimu mkuu.
  7. BEDECCA

    Educate the children for a bright tomorrow

    The idea is of significance because tomorrow is prepared by today, lets educate the children for a bright tomorrow!
  8. BEDECCA

    Fighting truancy with BEDECCA

    Hapana nawajulisha ndg zangu.
  9. BEDECCA

    Fighting truancy with BEDECCA

    BEDECCA is an NGOs which deals with educating and counseling societies about the negative effects of absenteeism, and the importance of education to children. Some of communities do not know the importance of education hence, they need to be educated and to make them to know the effects of...
Back
Top Bottom