Wanafunzi wanne wa shule ya sekondari Mwakaleli watoroka

BEDECCA

Member
Oct 27, 2016
10
4
Mnamo tarehe 20/01/2017, siku ya ijumaa kuna wanafunzi wa nne(4) wa shule ya sekondari Mwakaleli walitoroka kwenda sehemu isiyojulikana.Sababu zilizopelekea ni pamoja na kufeli mtihani wa upimaji wa kidato cha pili wakati wengine wakijihusisha na masuala ya mapenzi na kukutwa katika vyumba vya wavula (yaani mageto).

Mwanafunzi Mmoja ni wa kidato cha tatu ambaye amefeli mtihani huo, mwingine ni kidato cha nne, na anayefuta ni kidato cha kwanza wakati mwingine ni alimaliza elimu ya sekondari mwaka 2015, muda wote alikuwa kwa wazazi wake.

Binti wa kidato cha pili alikutwa katika eneo wanaloishi wavulana nyakati za usiku na kupelekwa mahabusu lakini alitoroka baada mlango kubomolewa katika eneo hilo.

Mungu wasaidie wanafunzi wapende elimu, yatupasa kupinga hali hii kwa nguvu zote.
 
Mkuu camp langu ilo Mwaks....ao madogo wa olevel makauzu mbaya muda wote wanagonga kinyaki hawana habari sisi watu wa advance boarding walikuwa wanatuona kama watalii tu.
 
Back
Top Bottom