Recent content by becknature

  1. becknature

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    Nafikiri hii ni vita ya kiuchumi tu, Rwanda ni muhasimu wetu, huenda ikawa amefanya hvyo ila kuvipromote vinywaji vya nchi yake. Naamini angekuwa sahihi kwa kutueleza scientifically kwa jinsi gani vinywaji vyetu sio vizuri. Au pia huenda yeye mwenye alishindwa kuzuia uingizwaji wa vinywaji fake...
  2. becknature

    JamiiForums Tanzania Range ya makato ya Lipa namba mitandao yote

    Huduma ya lipa kwa simu ni mahususi kwa ajili ya mteja anaetaka kulipia bidhaa na sio kutoa pesa.
  3. becknature

    JamiiForums Tanzania Range ya makato ya Lipa namba mitandao yote

    Unakosew kusema hivyo, kwanza kwanini wewe uende umuambie wakala unataka kutoa kwa lipa namba? Vile wakala anataka kupata faida kutokana na pesa yake anayokupa, ila hayo yote ni kutokana na nyinyi wateja kuhitaji hivyo.
  4. becknature

    JamiiForums Tanzania KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

    Is lukumay God? Is lukumay the Church?, Is lukumay member of familiy? Is God lukumay? Is the Church lukumay?
  5. becknature

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    Wewe ulipata watu wabaaisaji, nimenunua gari used bongo na zote ziko vizuri brother, changamoto ni za kawaida ambazo kila gari inaikumba.
  6. becknature

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara za kuuza duka la Mangi naombeni ushauri

    Nafikiri ilibidi umshauri kuna mambo ambayo si ya lazima kufanya unapoanza hiyo biashara, nimekulia kwenye hyo biashara wazazi wangu waliendesha vizuri mpaka ikaja kua ya jumla. Brother hyo biashara simamia mwenyewe uchumi wa kiwango cha juu unahitajika hakikisha unapata bei toka kwa masupplier...
  7. becknature

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Unajua unaposema kumuandaa, kuna muda tutawapa wazee wetu lawama kwasababu utakuta kama yeye alianza from scratch kajifunza mpaka kaimasta vizuri. Nafikiri kama mtoto anajua umuhimu kuendeleza alichoachiwa na wazazi anaweza kuanza kujifunza vizuri. Kuna watoto wanaandaliwa na bado shida iko...
  8. becknature

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Nafikiri mda mwingine that is not the case, Nafikiri changamoto za masuccessor wetu,
  9. becknature

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Nyinyi ni makondakta wa hizo basi au ndio mapenzi ya dhati kuhusu hizo gari
  10. becknature

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Hizo dozi tisa za mitishamba?
  11. becknature

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Sijajua huenda hiyo unaipata kwa tabu sana, lakini hiyo haiendani na uhalisia wa kitabibu.
  12. becknature

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa maziwa au bajaj used ipi option nzuri? Changamoto zake

    Sawa lakini kumbuka ng'ombe hatoi maziwa throughout the year ila bajaji inaweza. Vile bajaji ukinunua bajaji hapo inaanza kufanya kazi ila ng'ombe mpaka azae.
  13. becknature

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa maziwa au bajaj used ipi option nzuri? Changamoto zake

    Kumbuka na yeye anaumwa na anakufa.
  14. becknature

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    niliwahi kuwa na same amount, nikasema niifanyaje nikaamua kuanza kibiashara cha wakala wa mitandao ya fedha, kuacha gharama za kutengeneza kibanda na kupata leseni za niashara nilianza na mtaji wa 2.5m hivyo hivyo kwa kubangaiza ndani ya mwaka kamtaji kakawa 5m na hapo ilikuwa ni mitandao ya...
  15. becknature

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

    Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, wewe kama kamba yako inakuruhusu kupata hayo mahitaji yako usitufokee sisi pata sote. Alafu mwanaume kujisifia unaendesha gari nzuri mbele ya wanaume wenzako si kitu kizuri.
Back
Top Bottom