:lol::lol: umenifanya nicheke kweli, we sema asante tu maana unaweza kutona na wewe dedication maneno mengine yaliyokuwa kwenye wimbo yakamkwaza bure ukaja hapa kufungua thread mpya.
Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.
Dawa aende hospitali akafanyiwe chekup maana ugonjwa wake na mwingine ni tofauti, ukifuatilia ushauri hapo na pia azingatie usafishaji wake usiwe wa kupitiliza na pia kuna dawa ya kusafisha inaitwa Lactacyd ni nzuri unaweza pata pharmacy na pia inasaidia kutopata fangasi (as doctor prescribed)...
Hivi ukimwona kahaba utamjua? Acha ujinga,kama huwezi shauri ni vyema ukaa kimya na si kila sehemu ucomment na pia kama unastress kiivyo kunywa maji ya baridi yatakusaidia otherwise pita tu tutashukuru.
Alafu mbona watu wengine wanacomment vizuri tu? Inakuaje mtu unakuwa na jazba na maneno...
Nilishamwambia kuhusu Plan B na aliniambia anayo nikamwambia then work on that alichonijibu ni "Plan B is to enforce plan A ambayo ni mimi" kama hapo utamjibuje sasa?
SIo kila mtu huwa ana-anguka ovyo kwenye mapenzi kama ufikiriavyo. Mimi hunichukua hata mwaka kuja kumwambia mtu nampenda so sishangai kwa hilo. Pia ku-flirt is not my thing, life has more to offer than branches ya michepuko
MAra nyingi tunaongea maswala ya kazi,labda yeye kuna kitu kinamkwaza namshauri na wakati wa furaha huwa ananiambia na mimi nikisikia kukaa na kuongea na mtu huwa tunaongea na ananipa ushauri wake,nothing else Ngongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.