Recent content by Bebez

  1. B

    JamiiForums Tanzania New Movie...

    Ikitoka ya Mwigulu part two afanye hivyo hivyo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

    Acha uzombi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufifia kwa chama cha CUF katika ramani ya siasa Tanzania

    Mtafute Msikitini umshauri.Yeye ameshaacha siasa anahubiri chuki na kiwagawa watu kiimani.Poor Lipumba.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufifia kwa chama cha CUF katika ramani ya siasa Tanzania

    Nani amekwambia CUF ni chama cha siasa.CUF ni chama cha dini ndo maana mikutano yao wanafanyia Misikitini.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. Mtikila

    Wadanganye Watutsi wenzio hapa umegonga mwamba.Watanzania hatuko Mambulula kiasi ch kushindwa kuchambua taarifa.Mjulishe Rais wako damu alizomwaga zitaendelea kumtafuna na hata siku moja hamtaheshimika kama wahutu. Na ubaguzi wenu utaendelea kuwahukumu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ujio huu wa obama ni kitu gani tujifunze kutoka kwenye serikali yetu.

    Sugu ana mrafiki wengi.Ni yupi Mkuu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ujio huu wa obama ni kitu gani tujifunze kutoka kwenye serikali yetu.

    Wadau nimefurahishwa na jinsi ,Mapokezi ya Obama yalivyofanyika pamoja na maandalizi ya ujio wake.Je ni kitu gani tunajifunza kutoka katika serikali yetu. -Kwamba jiji letu linaweza kuwa safi kama serikali itaamua. -Hatuthamini afya zetu mpk wageni watutembelee ndo tusafishe. Mengine ni yapi...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae malia obama ameanza kunikubalia - anahitaji nimchagulie nyimbo ya kibongo

    Sasa tufanyaje
Back
Top Bottom