Kama wewe ni mfanyabiashara, tena wa jati au mkubwa, it makes sense, lakini kama ni mfanyakazi, mwalimu kama mimi, ninayetegemea kulipa kwa kutumia mshahara hizi riba ni kubwa sana wajameni
Wanajukwaa habari, nimekuwa nikijiuliza, hizi taasisi za serikali mbona ziko kimya sana, wakati.ndizo.zenye jukumu la kumlinda mlaji wa mikopo hii ya kwenye simu kutoka tigo na airtel ambao kiukweli wanamwibia mteja. Tigo ukikopa shilingi 120,000/= kwa siku 21 unatakiwa urudishe shilingi...
Let be serious, watz tunataka kuendesha ndege kama tunavyiendesha magati ywtu used, haiwezekani.
Hata gari kila kifa kina mileage ya kuwa kwenye gari, sasa ndege mnataka iruke tu mpaka lini, tuwe na subira na kuheshimu taaluma za watu, ingekuwa grounded kwa kufa hapo sawa, ipo grounded kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.