Recent content by beberu beberu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Toyota cami inauzwa

    Natoa milioni mbili kama inafaa kweli nipo sirias kabisa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Lakini uko ni kukandamiza democrasia!haiwezekani kiongizi mkubwa kama lisu akamatwe bila wahusika kutoa taarifa!inamaanisha kuna watu wanailinda serikali isikosolewe kabisa!jamani polisi mjifunze kwamba mkishamkamata kiongizi kama lisu mtoe taarifa kwa wananchi msifanye kwa siri mtaamsha ghazabu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Kwali naanza kuamini ya kwamba kuna namna nyingi sana as kuisoma namba
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tiketi ya FastJet Kilimanjaro to Dar inauzwa

    Ni shilingi ngapi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tazama sifa za wanafunzi wa elimu ya juu na vyuo wanavyosoma

    Ushirika moshi kimesahalika mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Bagamoyo Road wana njaa kali

    Jamani na trafiki wengine ni wale waliopo kwenye kituo pale USA arusha
  7. B

    JamiiForums Tanzania Trafiki arusha wamekuwa kero kwa wananchi!haswa walioko pale USA

    Namuomba mkuu wa jeshi la polisi amulike polisi arusha maeneo ya USA River maana wananyanyasa wananchi!trafiki wa USA wananyanyasa wenye magari kwa kuwabambikia makosa kibabe na ukikataa kulipa wanakupiga na kukusweka rumande!mmi nlishudia walivyomzalilisha dereva wa coster zinazoenda moshi!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Mwanza panafunika sana bhana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Jamaa ataki kuitwa mtakatifu?
Back
Top Bottom