beberu beberu
Member
- Dec 21, 2016
- 9
- 4
Namuomba mkuu wa jeshi la polisi amulike polisi arusha maeneo ya USA River maana wananyanyasa wananchi!trafiki wa USA wananyanyasa wenye magari kwa kuwabambikia makosa kibabe na ukikataa kulipa wanakupiga na kukusweka rumande!mmi nlishudia walivyomzalilisha dereva wa coster zinazoenda moshi!