unimaginable
Member
- Jan 31, 2017
- 15
- 15
Wadau nilifanya payment ya tiketi ya fastjet kutoka Kilimanjaro to Dar bahati mbaya muhusika amepata dharura hato safiri na FastJet hawakubali kurudisha cash na ukibadilisha tarehe ya kusafiri wanakucharge tena hivyo Kama kuna mdada au mmama anaenda dar kutokea kilimanjaro/Arusha wiki hii aniPM nimuuzie kwa bei nafuu kbs kuliko nipoteze cash yangu yote.
Asanteni
Asanteni