Wewe unaesema nalipwa hayajakukuta...kama hauna nia ya kunishauri pita tu...lkn co kinikebehi. Nitunge habar kwa nn. Jaribu kuwa mstaharabu pia jiheshimu. Au ushazoea stread za mapenz tu ndio za kwel. Jiheshimu
Habari zenu wakuu,
Naandika habari hii nikiwa na masikitiko makuu. Kuna wageni kama saba hivi wamekuja home kutokea kijijini tangu mwaka jana mwezi wa kwanza. Lakini katika hali ya kushangaza wamekuja tena wawili kutoka hukohuko kijijini, safari hii wamekuja bila taarifa kwa wahusika. Kumbe...
Ss jana mtu wa maziwa hakutuletea...datz why tukapika chai ya kawaida...hawa wagen wetu kutoka bush hawakuinywa na isitoshe wametukasilikia nyumba nzima. Ucku tulipika chapat na nyama lkn wao walikula chapati saba kila mmoja. Yan hawa jamaa kutoka kijijin ni tatizo. Na kama haitoshi wamemuita...
Au kiboko yao ni viaz na mihogo..ukiwapa vitumbua au maandaz utapata hasara. Alafu wanataka chai asubuh na jion...kiukwel watu wa kijijin ni tatizo. Mchana ukipika tambi au chakula chochote chepesi hawataki. Yaan wanataka ugali wa muhogo na nyama au samaki.
Ushauri wa bure; mkuu watumie nauli wazazi wako na dada zako nao waje kuishi hapo tuone sasa hilo movie litaitwaje, wazaz wa mwanamke si wanajidai wabandidu kama hiyo nyumba wameijenga wao!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.